DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza inayotamaniwa na kila nchi/kila mtu.

Japo nimeingilia kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu naimani wenye kazi yenu mpo humu na kama yatakua na tija mnaweza kuyachukua na kama hayana tija mnaweza kuachana nayo japo naimani yatakua na tija kama sio kesho hata vizazi vijavyo.

Kazi ya ulinzi ya usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila raia mwema mwenye mapenzi mema na nchi hii bahati nzuri sana mimi ni kati ya raia wema ninayeipenda nchi yangu Tanzania, binafsi kuna taarifa humu JF wakati mwingine ninazisoma kama story na zingine ninazichukulia kwa uzito mkubwa kati ya taarifa ambayo leo hii nimeichukulia kwa uzito mkubwa ni Ndugu "Vicent Karega Mnyarwanda kudai kuwa Waha ni wenyeji wa Rwanda".

Naanzia hapa hii taarifa ingekua imesemwa na mtu kama mimi pale Rwanda wala nisingejisumbua kuja na hili bandiko ila kwa sababu imesemwa na Vicent Karega basi imebidi nije na kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama la kufikiri kidogo.

Who is Vicent Karega?

Baada ya kupitia vyanzo anuwai nimegundua huyu mtu ni mtu muhimu sana kwenye Serikali ya Rwanda chini ya Rais Kagame.

Vicent Karega alishawahi kuwa balozi wa Rwanda Nchini South Afrika, wote tunaelewa nini kilichowapata waliokua wanajeshi wa vyeo vya juu waliokua kinyume na Sera za Kagame na kuishia kwenda kuishi South Afrika wengi wao walikula vyuma waliuliwa kipindi wanakula vyuma huyu jamaa ndio alikua balozi kule.

isitoshe Vicent Karega alishawahi kuwa Balozi wa Rwanda nchi Democratic Republic of Congo wote tunaelewa kinachoendelea pale Drc chini ya M23 rais wa Congo amekua akitoa shutuma kila kukicha Rwanda ipo nyuma ya M23 sio ajabu hata Tp mazembe waliwekewa ngumu kuvaa yale maandishi.

Pia Vicent Karega Ubelgiji walimkataa kama Balozi wa Rwanda nchini mwao, tunafahamu kati ya nchi za Ulaya Ubelgiji ndio nchi yenye Intelijensia kali sasa kama wao walimkataa hatuwezi kujua sababu ila ajabu anaweza kuteuliwa kuwa Balozi Tanzania akapokelewa vizuri tu.

Baada ya kusoma ile taarifa humu Jf kuna maswali mawili matatu nimejiuliza

Vicent Karega anasema waha wapo karibia milioni 2 hebu tujiulize hizi takwimu kazitoa wapi na watu milioni 2 ni wengi sana jeshi zima la Urusi hata milioni 2 hawafiki je mpaka ametaka kufahamu idadi ana malengo gani ?

Akazidi kusema ni Kabila la tatu kwa ukubwa nchi Tanzania mimi binafsi sifahamu hizo takwimu ila Vicent Karega anazifahamu. Plse vyombo vya ulinzi na usalama najua mpo makini sana ndio maana tunalala usingizi mtamu ila naomba muongeze umakini zaidi hasa ujajusi.

Kwanini nimetoa angalizo nlishawahi kuja na uzi humu kuonyesha jinsi Urusi anavyopandikiza raia wake nchi za jirani na mwisho wake kudai raia wake wanaonewa na kuishia kuanzisha vita kafanya hayo Georgia, Ukraine, Finland, Chechnyia...nk sio ajabu leo nchi kama Finland inataka kujenga uzio kwenye mpaka wake na Urusi ili kuzuia warusi wasiingie Finland.

Je mpaka Vicent Karega ameamua kusema haya anataka kupima Tanzania itareact vipi binafsi ningependa sana nchi kama nchi itulie isijibu kitu, Je wameshamaliza kuipeleleza nchi yetu na kufahamu ubora wetu na udhaifu wetu sitaki kuamini katika hilo.

Ni kweli Watanzania tunapenda sana wageni ila kwa dunia ya sasa ni vyema tukaanza kuangalia maslahi ya nchi kwanza turudi kwenye lile Somo letu la Uraia Ulinzi na Usalama ni Jukumu la Kila Mtanzania.

Vvyanzo vya habari.

View attachment 2810918
View attachment 2810919
Lolote laweza kuwa agenda ya hao wauaji. Tz ni nchi yenye uongozi dhaifu usio na uzalendo, zaidi ni wizi tu, unaweza kuusoma na kuuchezea kiurahisi tu.

Ona huko Kigoma watu wanavyokamatwa kiholela, na kubambikiwa ukimbizi. Mtu hatembei na vizuri uthibitisho wa kuzaliwa Tz, akiwa katika taratibu za kuthibutisha, unasikia kapotea, na mara maiti yake imeokotwa, kukiwa na ushahidi wa mazingira ya rushwa pia.

Kwa utaratibu huu, hao mauaji wanajua wakileta fitna hizi, jinsi kiurahisi tu zitakavyoanza kuligawa hili taifa kubwa, tuanze kuuana, kubaguana kufukuzana kama inavyowatokea Wamaasai.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Rwanda ipo siku tutaitawala EA yote na hakuna atakayekohoa.
Genetically Abaha wanafanana na wahutu, by 80%, hawana neno hao kwetu, Tanzania ndio kwa mbeleni sana, Rwanda itakuwa kama zanzibar tu, tena itakuwa na amani ya ukweli, Amini hili. /
E. A, ni muhimu zikawekeana mikataba itakayozuia nchi miongoni kumiliki silaha za nuke! (future wise)
 
Lolote laweza kuwa agenda ya hao wauaji. Tz ni nchi yenye uongozi dhaifu usio na uzalendo, zaidi ni wizi tu, unaweza kuusoma na kuuchezea kiurahisi tu.
Ona huko Kigoma watu wanavyokamatwa kiholela, na kubambikiwa ukimbizi. Mtu hatembei na vizuri uthibitisho wa kuzaliwa Tz, akiwa katika taratibu za kuthibutisha, unasikia kapotea, na mara maiti yake imeokotwa, kukiwa na ushahidi wa mazingira ya rushwa pia.
Kwa utaratibu huu, hao mauaji wanajua wakileta fitna hizi, jinsi kiurahisi tu zitakavyoanza kuligawa hili taifa kubwa, tuanze kuuana, kubaguana kufukuzana kama inavyowatokea Wamaasai.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kwamba waliopo kwenye vyombo vya ulinzi wengi wao elimu zao za kuunga unga tu ndiyo maana hawatumii weledi na akili
 
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza inayotamaniwa na kila nchi/kila mtu.

Japo nimeingilia kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu naimani wenye kazi yenu mpo humu na kama yatakua na tija mnaweza kuyachukua na kama hayana tija mnaweza kuachana nayo japo naimani yatakua na tija kama sio kesho hata vizazi vijavyo.

Kazi ya ulinzi ya usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila raia mwema mwenye mapenzi mema na nchi hii bahati nzuri sana mimi ni kati ya raia wema ninayeipenda nchi yangu Tanzania, binafsi kuna taarifa humu JF wakati mwingine ninazisoma kama story na zingine ninazichukulia kwa uzito mkubwa kati ya taarifa ambayo leo hii nimeichukulia kwa uzito mkubwa ni Ndugu "Vicent Karega Mnyarwanda kudai kuwa Waha ni wenyeji wa Rwanda".

Naanzia hapa hii taarifa ingekua imesemwa na mtu kama mimi pale Rwanda wala nisingejisumbua kuja na hili bandiko ila kwa sababu imesemwa na Vicent Karega basi imebidi nije na kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama la kufikiri kidogo.

Who is Vicent Karega?

Baada ya kupitia vyanzo anuwai nimegundua huyu mtu ni mtu muhimu sana kwenye Serikali ya Rwanda chini ya Rais Kagame.

Vicent Karega alishawahi kuwa balozi wa Rwanda Nchini South Afrika, wote tunaelewa nini kilichowapata waliokua wanajeshi wa vyeo vya juu waliokua kinyume na Sera za Kagame na kuishia kwenda kuishi South Afrika wengi wao walikula vyuma waliuliwa kipindi wanakula vyuma huyu jamaa ndio alikua balozi kule.

isitoshe Vicent Karega alishawahi kuwa Balozi wa Rwanda nchi Democratic Republic of Congo wote tunaelewa kinachoendelea pale Drc chini ya M23 rais wa Congo amekua akitoa shutuma kila kukicha Rwanda ipo nyuma ya M23 sio ajabu hata Tp mazembe waliwekewa ngumu kuvaa yale maandishi.

Pia Vicent Karega Ubelgiji walimkataa kama Balozi wa Rwanda nchini mwao, tunafahamu kati ya nchi za Ulaya Ubelgiji ndio nchi yenye Intelijensia kali sasa kama wao walimkataa hatuwezi kujua sababu ila ajabu anaweza kuteuliwa kuwa Balozi Tanzania akapokelewa vizuri tu.

Baada ya kusoma ile taarifa humu Jf kuna maswali mawili matatu nimejiuliza

Vicent Karega anasema waha wapo karibia milioni 2 hebu tujiulize hizi takwimu kazitoa wapi na watu milioni 2 ni wengi sana jeshi zima la Urusi hata milioni 2 hawafiki je mpaka ametaka kufahamu idadi ana malengo gani ?

Akazidi kusema ni Kabila la tatu kwa ukubwa nchi Tanzania mimi binafsi sifahamu hizo takwimu ila Vicent Karega anazifahamu. Plse vyombo vya ulinzi na usalama najua mpo makini sana ndio maana tunalala usingizi mtamu ila naomba muongeze umakini zaidi hasa ujajusi.

Kwanini nimetoa angalizo nlishawahi kuja na uzi humu kuonyesha jinsi Urusi anavyopandikiza raia wake nchi za jirani na mwisho wake kudai raia wake wanaonewa na kuishia kuanzisha vita kafanya hayo Georgia, Ukraine, Finland, Chechnyia...nk sio ajabu leo nchi kama Finland inataka kujenga uzio kwenye mpaka wake na Urusi ili kuzuia warusi wasiingie Finland.

Je mpaka Vicent Karega ameamua kusema haya anataka kupima Tanzania itareact vipi binafsi ningependa sana nchi kama nchi itulie isijibu kitu, Je wameshamaliza kuipeleleza nchi yetu na kufahamu ubora wetu na udhaifu wetu sitaki kuamini katika hilo.

Ni kweli Watanzania tunapenda sana wageni ila kwa dunia ya sasa ni vyema tukaanza kuangalia maslahi ya nchi kwanza turudi kwenye lile Somo letu la Uraia Ulinzi na Usalama ni Jukumu la Kila Mtanzania.

Vvyanzo vya habari.

View attachment 2810918
View attachment 2810919
Makamu wa Rais ni Muha na anatokea mpakani kabisa
 
Safi sana Umetoa maono ya mbali which is good thing when it comes to national security you can't ignore even a small Intel

But trust me Kama umewahi kutembea kwenda kigoma even once utajua juhudi ya vyombo vyetu vya usalama though Kuna weza kua na small loophole hawa watu kupenya kuja Kwetu but hakuna boda iko na ulinzi Kama kigoma

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo imara sana mimi Kama Raia sizani Kama hii inaweza kua threat to national security japo wenyewe wanaweza kulipima ukubwa wake vizuri
Hongera mkuu Kwa kuonyesha uzalendo
Hivi umeelewa alichoandika mleta mada? Na umepewa likes kabisa na Wasioelewa wenzio. JF ya sasa tuna upungufu mkubwa wa watu wa mijadala compared to 2010s.

Issue sio mtu atoke Rwanda avuke now kwa kujipenyeza penyeza na kujifanya ni Muha (Mha), Bali ni watu waliojikuta wako Tanzania baada ya mipaka kuwekwa na wakoloni Lakin originally ni Warwanda.

Sema hoja ya mleta mada inakosa mashiko sababu Rwanda-Burundi zilikua ni sehemu ya Tanganyika hivyo hata kama kuna Waha wa Rwanda nao walikua sehemu ya Tanganyika before, so wamerudi tu kwao. Sio kwa dhana ya upandikizi kama anavyotaka kutuaminisha.
 
Mtoa mda umeongea kwa uchungu sana, nimeuona uzalendo ktk kila neno lako.
Hongera kwa hilo.

Eti b… hili tuliweke kwenye various issues au tuliache?
Mdakuzi
Siku hizi na wewe umekua kipepeo mweusi.. kweli ukitembea na mwizi, utakua mwizi tu!
 
Safi sana Umetoa maono ya mbali which is good thing when it comes to national security you can't ignore even a small Intel

But trust me Kama umewahi kutembea kwenda kigoma even once utajua juhudi ya vyombo vyetu vya usalama though Kuna weza kua na small loophole hawa watu kupenya kuja Kwetu but hakuna boda iko na ulinzi Kama kigoma

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo imara sana mimi Kama Raia sizani Kama hii inaweza kua threat to national security japo wenyewe wanaweza kulipima ukubwa wake vizuri
Hongera mkuu Kwa kuonyesha uzalendo
Huyo Rwanda ni unit ndogo sana katika threat,hata intelligencea yake ni ndogo pia kulinganisha na Tanzania...
 
Kagame aliwahi kuahidi kumpiga Kikwete. Sina hakika kama aliwahi kufuta Kauli hii.

Anyway, Rwanda sio majirani kwa kujisahaulisha sana.
 
Wabongo tunapenda Sana kujifariji laiti tungejua,hao miamb wanawatu wao Hadi wa kufoji vyeti na kuingizwa jeshini rasmi

Siibez nchi yangu,ila hakuna muda wa kua makini hivi sasa na baadae
Sasa mbona uko biased mkuu, kama wamejipenyeza huku, wao ni nan hasa mpaka sisi tusijipenyeze kwao?.
Tena huenda sis tumepenyeza watu wao hao hao wafanye kaz yetu maana ogopa sana nchi ikishakua ya migawanyiko
 
Tatizo ni kwamba waliopo kwenye vyombo vya ulinzi wengi wao elimu zao za kuunga unga tu ndiyo maana hawatumii weledi na akili
Wenye elim za kuunga hao unaowasema ndio wanaokuweka salama ukawa hur kupost na kunya bila ghasia.
Haya tuonyeshe wewe na wenzako mlio na elimu smart mmefanya kitu gani?

Kwakifupi, nyie mmesoma tu ila elimu hamna zaid ya chenga chenga.
 
Umefanya vizuli kutoa la moyoni. Ila ukweli ni kwamba kwa kazi za wana usalama,hilo ni jambo dogo. Kwamba fulani kasema? Ana haki ya kuongea anachokitaka. Kwani ni wapi kadai waha warudi Rwanda? Unadhani Rwanda hakuna waha? Watu weusi walifikaje Marekani? Au wazungu walifikaje south Africa?
Kwa umri wako,ni utoto unaokusumbua. Hata kila mhamiaji aliyepo nchini unadhani hajulikani? Siku ajitose kuleta vurugu,ndo utajua hivyo vyombo vinafanya kazi.
Ushabiki wa kinafiki hauna maana. Kwani akidai waha ni wa Rwanda,akaomba hao waha warudi kwao,unapungukiwa nini? Hao waha,leo hii ukiwambia rudini kwenu,wataenda?
Hata yeye ni binadamu,kuongea tofauti na uhalisia ni jambo la kawaida. Kama lina uzito,ulisikia serikali inatoa jibu lake kuhusu hilo? Acha utoto
Mbona povu?
 
Back
Top Bottom