DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aliyekufundisha uandishi huu alikosea. Ila,una kila sababu ya kuandika unavyotaka bwana. Si upo huru? Waliofiwa,waliouliwa,hao wahuni unaowasema wanaokufa na kufiwa,wanandamu kama yako. Leo kwao,kesho kwako. Kama si kwako huenda ikawa kwa ndugu yako. Tuone. Wewe unasherehekea vifo?
Mkuu kuelezea matukio ni kusherekea vifo.
Au kuwahoji wafuasi wa FDLR NA RPF NA MAKUNDI MENGINE YA WANAMGAMBO MASHARIKI MWA DRC NI KUSHEREKEA VIFO.
Basi waandishi wa habari hatufai kuwepo kama ni haramu kuhoji watu.
 
Hii ni ishara tosha ya unyama wa badhi ya viumbe. Physically ni mtu,lakini emotionally ni mnyama. Amefanya mahojiano na FDRL na RPF? Then, M23 ni wahuni? Ina maana DRC sasa hivi wanauliwa wahuni?

1994 waliuliwa watu waliotaka wenyewe? Aise, upuuzi mwingine si wa kuleta humu. Si kila unachojisikia ni cha kuandika ovyo. Uhuru wa kutoa maoni,si wa kuwakwaza watu. Hasa wengine bado majeraha ya mioyo yao bado inavuja. Mtu kauliwa familia nzima leo unamuita mhuni?
SISI WAANDISHI WA HABARI TUPO FAIR PANDE ZOTE.
TUNAHOJI PANDE ZOTE
 
Mkuu kwa ufahamu wako genocide kwa wanyarwanda imeanza 1994?
Vipi kuhusu genocide za watusi 1952 na 1958 na 1973 na 1987 na 1992
Vipi kuhusu genocide za wahutu 1996 na 1997 na 1999 na 2002 na 2004
Sisi waandishi huru waga tunaleta habari huru.
Serikali ya Kaybanda ilikua genge la wahuni wauaji.
Serikali ya Juvenail ilikua genge la wahuni wauaji.
Serikali ya Kagame ni genge la wahuni wauaji.
Viongozi wa makundi yote ya RPF na FDLR na mengineyo zaidi ya 16 mashariki ya DRC likiwemo kundi la M-23 ni makundi ya wahuni wauaji wa raia.
Na wanajeshi wa UPDF wameshiriki mauaji ya halaiki Congo DRC na Rwanda 1990 na 1994 na 1996 na 1999 na 2002
Sasa waandishi huru wa habari tukileta hizi habari mnatuona hatufai.
Lazima ukweli usemwe.
NB : Mada ilikua Vicent Karega na matamshi yake.
Asante. Sasa nimeshaona upande wako
 
Unaijua maana ya genocide? Kweli we ni mwandishi huru. Usijali
 
Mkuu tatizo la watu, hamtaki kujua ukweli wa pande mbili kuhusu hizi genocide za maziwa makuu since genocide ya kwanza ya mwaka 1920.

At least mimi nawafahamu kisiasa na baadhi nimefanya nao mahojiano watu kama Juvenal na Kagame na Bizimungu na Ndadaye na Rugwama na Buyoya na Kabila na Mobutu na Kenge Wadongo na Museveni na nimewahoji takribani wanajeshi wa ranki za juu za RPF FDLR FARC M23 since 2006 up to 2022.
Kuhusu hiyo migogoro yao isiyoisha
 
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza inayotamaniwa na kila nchi/kila mtu.

Japo nimeingilia kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu naimani wenye kazi yenu mpo humu na kama yatakua na tija mnaweza kuyachukua na kama hayana tija mnaweza kuachana nayo japo naimani yatakua na tija kama sio kesho hata vizazi vijavyo.

Kazi ya ulinzi ya usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila raia mwema mwenye mapenzi mema na nchi hii bahati nzuri sana mimi ni kati ya raia wema ninayeipenda nchi yangu Tanzania, binafsi kuna taarifa humu JF wakati mwingine ninazisoma kama story na zingine ninazichukulia kwa uzito mkubwa kati ya taarifa ambayo leo hii nimeichukulia kwa uzito mkubwa ni Ndugu "Vicent Karega Mnyarwanda kudai kuwa Waha ni wenyeji wa Rwanda".

Naanzia hapa hii taarifa ingekua imesemwa na mtu kama mimi pale Rwanda wala nisingejisumbua kuja na hili bandiko ila kwa sababu imesemwa na Vicent Karega basi imebidi nije na kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama la kufikiri kidogo.

Who is Vicent Karega?

Baada ya kupitia vyanzo anuwai nimegundua huyu mtu ni mtu muhimu sana kwenye Serikali ya Rwanda chini ya Rais Kagame.

Vicent Karega alishawahi kuwa balozi wa Rwanda Nchini South Afrika, wote tunaelewa nini kilichowapata waliokua wanajeshi wa vyeo vya juu waliokua kinyume na Sera za Kagame na kuishia kwenda kuishi South Afrika wengi wao walikula vyuma waliuliwa kipindi wanakula vyuma huyu jamaa ndio alikua balozi kule.

isitoshe Vicent Karega alishawahi kuwa Balozi wa Rwanda nchi Democratic Republic of Congo wote tunaelewa kinachoendelea pale Drc chini ya M23 rais wa Congo amekua akitoa shutuma kila kukicha Rwanda ipo nyuma ya M23 sio ajabu hata Tp mazembe waliwekewa ngumu kuvaa yale maandishi.

Pia Vicent Karega Ubelgiji walimkataa kama Balozi wa Rwanda nchini mwao, tunafahamu kati ya nchi za Ulaya Ubelgiji ndio nchi yenye Intelijensia kali sasa kama wao walimkataa hatuwezi kujua sababu ila ajabu anaweza kuteuliwa kuwa Balozi Tanzania akapokelewa vizuri tu.

Baada ya kusoma ile taarifa humu Jf kuna maswali mawili matatu nimejiuliza

Vicent Karega anasema waha wapo karibia milioni 2 hebu tujiulize hizi takwimu kazitoa wapi na watu milioni 2 ni wengi sana jeshi zima la Urusi hata milioni 2 hawafiki je mpaka ametaka kufahamu idadi ana malengo gani ?

Akazidi kusema ni Kabila la tatu kwa ukubwa nchi Tanzania mimi binafsi sifahamu hizo takwimu ila Vicent Karega anazifahamu. Plse vyombo vya ulinzi na usalama najua mpo makini sana ndio maana tunalala usingizi mtamu ila naomba muongeze umakini zaidi hasa ujajusi.

Kwanini nimetoa angalizo nlishawahi kuja na uzi humu kuonyesha jinsi Urusi anavyopandikiza raia wake nchi za jirani na mwisho wake kudai raia wake wanaonewa na kuishia kuanzisha vita kafanya hayo Georgia, Ukraine, Finland, Chechnyia...nk sio ajabu leo nchi kama Finland inataka kujenga uzio kwenye mpaka wake na Urusi ili kuzuia warusi wasiingie Finland.

Je mpaka Vicent Karega ameamua kusema haya anataka kupima Tanzania itareact vipi binafsi ningependa sana nchi kama nchi itulie isijibu kitu, Je wameshamaliza kuipeleleza nchi yetu na kufahamu ubora wetu na udhaifu wetu sitaki kuamini katika hilo.

Ni kweli Watanzania tunapenda sana wageni ila kwa dunia ya sasa ni vyema tukaanza kuangalia maslahi ya nchi kwanza turudi kwenye lile Somo letu la Uraia Ulinzi na Usalama ni Jukumu la Kila Mtanzania.

Vvyanzo vya habari.

View attachment 2810918
View attachment 2810919
Hongera kwa uzalendo
 
Kuna inferiority ya watanzania against Rwanda and Kenya ambayo sielewi ilianzia wapi. Wabongo wakisikia tu Rwanda automatically wanakua wanyonge na kuanza kusifia kila kitu cha huko huku wakiponda vyao. Hivi Rwanda wametuzidi nini hasa? GDP, ardhi, watu, jeshi au nini?

Maneno ya huyo Karega could very well be arbitrary, kajitamkia tu. Wanaropoka marais ndo sembuse huyo.

Kadhalika nani asiyejua jamii ya Waha, warundi na wanyarwanda ni moja na wanashabiana lugha, tamaduni na kila kitu. As a matter of fact, jamii zote za mipakani ni zile zile baina ya nchi husika. Wamaasai, wajaluo wapo Kenya na TZ. Wanyasa wapo TZ na Malawi. Wasambaa wapo TZ na Comoro. Wamakonde wapo TZ na Msumbiji. Jamii ya Wairaq wapo as far as Ethiopia. Wangoni wapo hadi South Africa nk nk. Nini cha ajabu hapo?

"Their language is a Bantu language,[5] and is called the Ha language, also called Kiha, Ikiha or Giha. It is closely related to the Kirundi and Kinyarwanda spoken in neighbouring Burundi and Rwanda, and belongs to the Niger-Congo family of languages" from Wikipedia itabidi muitilie mashaka ya kuleta machafuko Wikipedia pia.
 
Mbona hilo jambo dogo na ni kawaida, kila mtu ana uhuru wakuongea anacho hisi kwamba ni kweli hilo halina uhusiano na vyombo vya ulinzi vya nchi.
Sidhani kama umeelewa logical content ya mtoa mada
 
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza inayotamaniwa na kila nchi/kila mtu.

Japo nimeingilia kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu naimani wenye kazi yenu mpo humu na kama yatakua na tija mnaweza kuyachukua na kama hayana tija mnaweza kuachana nayo japo naimani yatakua na tija kama sio kesho hata vizazi vijavyo.

Kazi ya ulinzi ya usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila raia mwema mwenye mapenzi mema na nchi hii bahati nzuri sana mimi ni kati ya raia wema ninayeipenda nchi yangu Tanzania, binafsi kuna taarifa humu JF wakati mwingine ninazisoma kama story na zingine ninazichukulia kwa uzito mkubwa kati ya taarifa ambayo leo hii nimeichukulia kwa uzito mkubwa ni Ndugu "Vicent Karega Mnyarwanda kudai kuwa Waha ni wenyeji wa Rwanda".

Naanzia hapa hii taarifa ingekua imesemwa na mtu kama mimi pale Rwanda wala nisingejisumbua kuja na hili bandiko ila kwa sababu imesemwa na Vicent Karega basi imebidi nije na kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama la kufikiri kidogo.

Who is Vicent Karega?

Baada ya kupitia vyanzo anuwai nimegundua huyu mtu ni mtu muhimu sana kwenye Serikali ya Rwanda chini ya Rais Kagame.

Vicent Karega alishawahi kuwa balozi wa Rwanda Nchini South Afrika, wote tunaelewa nini kilichowapata waliokua wanajeshi wa vyeo vya juu waliokua kinyume na Sera za Kagame na kuishia kwenda kuishi South Afrika wengi wao walikula vyuma waliuliwa kipindi wanakula vyuma huyu jamaa ndio alikua balozi kule.

isitoshe Vicent Karega alishawahi kuwa Balozi wa Rwanda nchi Democratic Republic of Congo wote tunaelewa kinachoendelea pale Drc chini ya M23 rais wa Congo amekua akitoa shutuma kila kukicha Rwanda ipo nyuma ya M23 sio ajabu hata Tp mazembe waliwekewa ngumu kuvaa yale maandishi.

Pia Vicent Karega Ubelgiji walimkataa kama Balozi wa Rwanda nchini mwao, tunafahamu kati ya nchi za Ulaya Ubelgiji ndio nchi yenye Intelijensia kali sasa kama wao walimkataa hatuwezi kujua sababu ila ajabu anaweza kuteuliwa kuwa Balozi Tanzania akapokelewa vizuri tu.

Baada ya kusoma ile taarifa humu Jf kuna maswali mawili matatu nimejiuliza

Vicent Karega anasema waha wapo karibia milioni 2 hebu tujiulize hizi takwimu kazitoa wapi na watu milioni 2 ni wengi sana jeshi zima la Urusi hata milioni 2 hawafiki je mpaka ametaka kufahamu idadi ana malengo gani ?

Akazidi kusema ni Kabila la tatu kwa ukubwa nchi Tanzania mimi binafsi sifahamu hizo takwimu ila Vicent Karega anazifahamu. Plse vyombo vya ulinzi na usalama najua mpo makini sana ndio maana tunalala usingizi mtamu ila naomba muongeze umakini zaidi hasa ujajusi.

Kwanini nimetoa angalizo nlishawahi kuja na uzi humu kuonyesha jinsi Urusi anavyopandikiza raia wake nchi za jirani na mwisho wake kudai raia wake wanaonewa na kuishia kuanzisha vita kafanya hayo Georgia, Ukraine, Finland, Chechnyia...nk sio ajabu leo nchi kama Finland inataka kujenga uzio kwenye mpaka wake na Urusi ili kuzuia warusi wasiingie Finland.

Je mpaka Vicent Karega ameamua kusema haya anataka kupima Tanzania itareact vipi binafsi ningependa sana nchi kama nchi itulie isijibu kitu, Je wameshamaliza kuipeleleza nchi yetu na kufahamu ubora wetu na udhaifu wetu sitaki kuamini katika hilo.

Ni kweli Watanzania tunapenda sana wageni ila kwa dunia ya sasa ni vyema tukaanza kuangalia maslahi ya nchi kwanza turudi kwenye lile Somo letu la Uraia Ulinzi na Usalama ni Jukumu la Kila Mtanzania.

Vvyanzo vya habari.

View attachment 2810918
View attachment 2810919
Hakuna nchi yenye intelejensia kubwa kama Tz kwa East and Central Africa na pengine Africa nzima relax kunywa kahawa.
 
Back
Top Bottom