DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbona hilo jambo dogo na ni kawaida, kila mtu ana uhuru wakuongea anacho hisi kwamba ni kweli hilo halina uhusiano na vyombo vya ulinzi vya nchi.
Akili ndogo
 
Yawezekana. Mi nineona kama anawastua wenye jukumu la kulinda nchi kuhusu tamko la Vincent Karega,kwamba waha ni wa Rwanda. Nahisi alicholenga,ni kuhusu uwepo wa makabila hayo nchi mbili. Sijui labda mtoa mada hakumuelewa vibaya!
Kesho atasema wanyambo na wahangaza ni wanyarwanda
 
Ask presdent of Rwanda.
Why he organize genocide with those Hutu politicians and French and Belgians goverment in 1987.
He knows what he did.
Tanzanians dont buy cheap propagandas.
Sawa. Endeleeni kuweka wanawake madarakani kwenye nchi zenu we know better on how to deal with them.
 
Kesho atasema wanyambo na wahangaza ni wanyarwanda
Mimi nafikiri huu ni mda mzuri kwa wanaojua historia ya enzi za ukoloni kuelimisha watu. Maana leo hii huyu atasema hivi, kesho mwenzie atapinga. Na ukija kuangalia ndo kinachotokea huko mashariki mwa DRC. Japo kuhusu hilo unalolisema, inafahamika maeneo hayo yanayokaliwa na wanyambo na wahangaza, yalikuwa ya Rwanda. Ukweli, ndo hatujui uko wapi.
 
Rwanda ni wa kusikitikiwa na siyo wa kuogopwa. Unajua Rwanda ni mtu na siyo nchi? Maana kagame akiondoka basi na Rwanda unakuwa mwisho wake. Ukiona nchi iko hivyo ni dhaifu.
 
Mi nafikiri huu ni mda mzuri kwa wanaojua historia ya enzi za ukoloni kuelimisha watu. Maana leo hii huyu atasema hivi,kesho mwenzie atapinga. Na ukija kuangalia ndo kinachotokea huko mashariki mwa DRC. Japo kuhusu hilo unalolisema,inafahamika maeneo hayo yanayokaliwa na wanyambo na wahangaza,yalikuwa ya Rwanda. Ukweli,ndo hatujui uko wapi
Dont mess with Tanzania's TPDF
Sababu ndio waliowaweka madarakani 1994
 
Dont mess with TPDF,S.
Those tanzanian,s are monster!!!!
Despite their silence in military propaganda,s
It's ok. That's not and will never be my business. Sit,relax,sleep. Military issues are beyond your thinking capacity. Leave it kwa wanaohusika. TPDF imekujaje? Kwa lengo lipi? Naomba hii topic niwithdraw ndugu yangu. Mambo mengine mi hapana.
 
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza inayotamaniwa na kila nchi/kila mtu.

Japo nimeingilia kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu naimani wenye kazi yenu mpo humu na kama yatakua na tija mnaweza kuyachukua na kama hayana tija mnaweza kuachana nayo japo naimani yatakua na tija kama sio kesho hata vizazi vijavyo.

Kazi ya ulinzi ya usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila raia mwema mwenye mapenzi mema na nchi hii bahati nzuri sana mimi ni kati ya raia wema ninayeipenda nchi yangu Tanzania, binafsi kuna taarifa humu JF wakati mwingine ninazisoma kama story na zingine ninazichukulia kwa uzito mkubwa kati ya taarifa ambayo leo hii nimeichukulia kwa uzito mkubwa ni Ndugu "Vicent Karega Mnyarwanda kudai kuwa Waha ni wenyeji wa Rwanda".

Naanzia hapa hii taarifa ingekua imesemwa na mtu kama mimi pale Rwanda wala nisingejisumbua kuja na hili bandiko ila kwa sababu imesemwa na Vicent Karega basi imebidi nije na kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama la kufikiri kidogo.

Who is Vicent Karega?

Baada ya kupitia vyanzo anuwai nimegundua huyu mtu ni mtu muhimu sana kwenye Serikali ya Rwanda chini ya Rais Kagame.

Vicent Karega alishawahi kuwa balozi wa Rwanda Nchini South Afrika, wote tunaelewa nini kilichowapata waliokua wanajeshi wa vyeo vya juu waliokua kinyume na Sera za Kagame na kuishia kwenda kuishi South Afrika wengi wao walikula vyuma waliuliwa kipindi wanakula vyuma huyu jamaa ndio alikua balozi kule.

isitoshe Vicent Karega alishawahi kuwa Balozi wa Rwanda nchi Democratic Republic of Congo wote tunaelewa kinachoendelea pale Drc chini ya M23 rais wa Congo amekua akitoa shutuma kila kukicha Rwanda ipo nyuma ya M23 sio ajabu hata Tp mazembe waliwekewa ngumu kuvaa yale maandishi.

Pia Vicent Karega Ubelgiji walimkataa kama Balozi wa Rwanda nchini mwao, tunafahamu kati ya nchi za Ulaya Ubelgiji ndio nchi yenye Intelijensia kali sasa kama wao walimkataa hatuwezi kujua sababu ila ajabu anaweza kuteuliwa kuwa Balozi Tanzania akapokelewa vizuri tu.

Baada ya kusoma ile taarifa humu Jf kuna maswali mawili matatu nimejiuliza

Vicent Karega anasema waha wapo karibia milioni 2 hebu tujiulize hizi takwimu kazitoa wapi na watu milioni 2 ni wengi sana jeshi zima la Urusi hata milioni 2 hawafiki je mpaka ametaka kufahamu idadi ana malengo gani ?

Akazidi kusema ni Kabila la tatu kwa ukubwa nchi Tanzania mimi binafsi sifahamu hizo takwimu ila Vicent Karega anazifahamu. Plse vyombo vya ulinzi na usalama najua mpo makini sana ndio maana tunalala usingizi mtamu ila naomba muongeze umakini zaidi hasa ujajusi.

Kwanini nimetoa angalizo nlishawahi kuja na uzi humu kuonyesha jinsi Urusi anavyopandikiza raia wake nchi za jirani na mwisho wake kudai raia wake wanaonewa na kuishia kuanzisha vita kafanya hayo Georgia, Ukraine, Finland, Chechnyia...nk sio ajabu leo nchi kama Finland inataka kujenga uzio kwenye mpaka wake na Urusi ili kuzuia warusi wasiingie Finland.

Je mpaka Vicent Karega ameamua kusema haya anataka kupima Tanzania itareact vipi binafsi ningependa sana nchi kama nchi itulie isijibu kitu, Je wameshamaliza kuipeleleza nchi yetu na kufahamu ubora wetu na udhaifu wetu sitaki kuamini katika hilo.

Ni kweli Watanzania tunapenda sana wageni ila kwa dunia ya sasa ni vyema tukaanza kuangalia maslahi ya nchi kwanza turudi kwenye lile Somo letu la Uraia Ulinzi na Usalama ni Jukumu la Kila Mtanzania.

Vvyanzo vya habari.


View attachment 2810918
View attachment 2810919
Tumeisha sasa waha why ajue takwim zetu serikari tunaomba ufafanuzi zaid juu ya haya Maelezo juu apo kufanyiwa kazi juu ya karenga
 
It's ok. That's not and will never be my business. Sit,relax,sleep. Military issues are beyond your thinking capacity. Leave it kwa wanaohusika. TPDF imekujaje? Kwa lengo lipi? Naomba hii topic niwithdraw ndugu yangu. Mambo mengine mi hapana.
Yaah mkuu tuachie sisi military reporters.
Karega atawapoteza RMG na wing yao ya RPF kuhusu intentions zao za kuvamia maeneo ya Tanzania.
Withdraw mkuu ni good idea.
 
Kikubwa tu tambua, RPF ni tofauti kabisa na hiyo FDRL inayotawala kichwa chako. Eneza unavojua,faida unaijua wewe,kikubwa tu wahanga na walengwa wanaujua ukweli. Komaa sasa
Mkuu mimi ni mwandishi wa habari siegemei upande wowote.
Ila naleta habari ambazo hazikutolewa popote.
RPF na FDLR na uhasama wao...nimeandika makala kabisa kuwahusu
 
Mkuu mimi ni mwandishi wa habari siegemei upande wowote.
Ila naleta habari ambazo hazikutolewa popote.
RPF na FDLR na uhasama wao...nimeandika makala kabisa kuwahusu
Wewe ni mwandishi wa habari? Kabisaaaa? Kama wa FDRL sawa. Si kwamba nakupinga au nakutukana, hapana. Na si kwamba nalazimisha uandike navyotaka mimi, la hasha. Ila kama kweli umedhamilia kusimamia taaluma yako, naomba wakati unaandaa makala, usiegemee upande wowote. Kama kweli wewe ni mwandishi professional, jiulize mada yako wanasoma wangapi, wanakuelewaje, upindishapo ukweli unaelewekaje! Mimi si mwanasiasa wala sipendi hayo mambo, lakini, mambo mengine usikurupuke, fanya utafiti wa kina, na wa kina zaidi.

Ntapenda nikuulize kitu. Kuhusu M23. Unafurahia watu wanavyochinjwa? Kwa nini wachinjwe? Wenyeji hawajali, majirani hawajali, lile genge linalojiita UN halijali, lakini ukiangalia taarifa zinazoandikwa, kana kwamba kuna kundi linalofagilia unyama unaoendelea, na lingine linakemea.
 
Wewe ni mwandishi wa habari? Kabisaaaa? Kama wa FDRL sawa. Si kwamba nakupinga au nakutukana,hapana. Na si kwamba nalazimisha uandike navyotaka mimi,la hasha. Ila kama kweli umedhamilia kusimamia taaluma yako,naomba wakati unaandaa makala,usiegemee upande wowote. Kama kweli we ni mwandishi professional,jiulize mada yako wanasoma wangapi,wanakuelewaje,upindishapo ukweli unaelewekaje! Mi si mwanasiasa wala sipendi hayo mambo,lakini, mambo mengine usikulupuke,fanya utafiti wa kina,na wa kina zaidi.

Ntapenda nikuulize kitu. Kuhusu M23. Unafurahia watu wanavyochinjwa? Kwa nini wachinjwe? Wenyeji hawajali,majirani hawajali, lile genge linalojiita UN halijali, lakini ukiangalia taarifa zinazoandikwa,kana kwamba kuna kundi linalofagilia unyama unaoendelea,na lingine linakemea.
Soma makala yangu kuhusu uhasama wa FDRL na RPF.
Ni mahojiano binafsi na wahusika wa pande zote mbili
 
Back
Top Bottom