Kwa taarifa yenu nyie ndio mko usingizini,juzi wakati wa chokochoko za rwanda na tanzania ilikua wakati CHADEMA ilikua imewasha moto dhidi ya ccm ikabidi jamaa walianzishe na kigali,sasa wanarudia tena kuna jambo tu,tusubiri.
wewe ndio mtizamo wako uko static. mimi hainingii akilini kuwa mtu aliyewahi kuwa RPA miaka yote hiyo aungane na FDLR simply kwa kutaka madaraka, hao FDLR unadhani ni wapuuzi kiasi gani? Na kama FDLR ni maadui wa watutsi kwa nini waungane na watutsi, tena watutsi waliokuwa wanapigana nao toka 1990, watutsi waliosababisha leo hii FDLR wawe ukimbizini?
Ukweli ni kuwa kuwa ukishakuwa against RPF hata uwe nani, wewe ni adui wa Rwanda. Haiwezekani watu wote wanaohama RPF wawe mafisadi, magaidi, revisionists .....
Hakuna cha propaganda hapo,tatizo wanyarwanda inteligensi yao iko juu,wanajua kinachoendelea tz,sasa kama nyie hamkuzikamata ni uwezo wenu mdogo,habari ndio hiyo,kingine nikwamba rwanda haina haja ya kuanzisha vita na taifa kubwa lenye nguvu kama tanzania wanalijua hilo,sasa mkiambiwa ukweli eti propaganda.
My president stop backing Twagiramungu and his band of FDLR murderous criminals. Shame shame.
Nakubaliana na wazo lako,lakini kwanini kwa upande mwingine usiwe ukweli? kwani watu wameanza kuropoka matusi dhidi ya watusi wakati hawaja ujua ukweli,inaonekana watanzania mnawaogopa watusi sana,nakumuogopa mtu maranyingi unakua unayajua maovu uliyo mtendea,ndio maana kila wakati unakua unahisi vita tokea rwanda.
Bro Hakuna tatizo lolote kwa Mh Jakaya kuongea na mtu yeyote na Hakuna wa kutuchagulia upande wa kuwa katika mgogoro huu huu wa wanyarwanda. Propaganda za pk hazina maana yeyote. kagame hana lolote na hawezi kutukosesha usingizi, tunajeshii imara na hatutaki uchokozi wakipuuzi wa mpumbav...u pk na akae akijua kinachomsumbu sio kingine ni damu ya wanyarwanda wasio na hatia inamtaka awajibike na atakayemuwajibisha sio sio mwingine ni the beast of eac Tanzania.
MUKAMASIMBA,Kwa taarifa yako rwanda haiwezi kosa usingizi kutokana na kikwete kuongea na twagiramungu,kwani kikwete anajulikana msimamo wake dhidi ya pk na watusi,nafikiri unakumbuka pk alisema anamsubiri yeyote at the right place na kuna line you cant cross.
Kwa hiyo Ina maana amejiandaa ku mu assassinate Kikwete siyo. Alivyoua wanajeshi wetu Darfur mnafikiri hatujui siyo. Msijaribu kabisa anamuassasinate tu. Kigari inakuwa majivu shame on you conflict and war mongers.Kwa taarifa yako rwanda haiwezi kosa usingizi kutokana na kikwete kuongea na twagiramungu,kwani kikwete anajulikana msimamo wake dhidi ya pk na watusi,nafikiri unakumbuka pk alisema anamsubiri yeyote at the right place na kuna line you cant cross.
MUKAMASIMBA,
..nyinyi kila tatizo mnataka mmalize kwa kumwaga damu. WHY?
..when will the Tutsi and Hutus stop killing one another?
..mwanzo wa-Tutsi walikuwa wakimbizi, sasa wa-Hutu wamekimbia. when will this stop?
cc jMali
My president stop backing Twagiramungu and his band of FDLR murderous criminals. Shame shame.
Mwandishi ka-acknowledge maana ameweka websiteMkuu,
Habari kama hizi ni vizuri ku-acknowledge chanzo (source) yake especially kama wewe si mwandishi wake.
Correction. Amekuwa rais mwaka 2003 na term moja ni miaka 7. Aliyehodhi madaraka ni Nyerere mbona hamkumuondoa?
Hakuna cha propaganda hapo,tatizo wanyarwanda inteligensi yao iko juu,wanajua kinachoendelea tz,sasa kama nyie hamkuzikamata ni uwezo wenu mdogo,habari ndio hiyo,kingine nikwamba rwanda haina haja ya kuanzisha vita na taifa kubwa lenye nguvu kama tanzania wanalijua hilo,sasa mkiambiwa ukweli eti propaganda.
Kwa taarifa yako rwanda haiwezi kosa usingizi kutokana na kikwete kuongea na twagiramungu,kwani kikwete anajulikana msimamo wake dhidi ya pk na watusi,nafikiri unakumbuka pk alisema anamsubiri yeyote at the right place na kuna line you cant cross.