Kwa taarifa yako rwanda haiwezi kosa usingizi kutokana na kikwete kuongea na twagiramungu,kwani kikwete anajulikana msimamo wake dhidi ya pk na watusi,nafikiri unakumbuka pk alisema anamsubiri yeyote at the right place na kuna line you cant cross.
wewe nadhani ni zer o kabisa na ninaimani wewe ulisahaulika kwenye operation kimbunga na ni mtu ambae hujali utu, msimamo wa JK unauelewa kweli au ndio unakurupuka kuandika usivyovijua?,,,. Soma kwanza alichokisema JK harafu ndio uone msimamo wa PK umeelekea wapi!,
Rwanda is for Rwandans(Tutsi, Hutu, and others bone in rwanda) it is not for Kagame!! Peace is for all rwandans. Mungu kawapa nchi wote, kutofautiana kimawazo kupo lakini
kutatua tofauti hizo za mawazo ndio kitu ambacho kagame anaona nikigumu kufanyika.
Kagame anawavalisha ngozi ya mauwaji FDLR akidhani wanyarwanda watasahau ukweli kuhusu yeye! this will never happen to rwandans
wanamsifu mdomoni ila mioyo yao imejaa kisasi juu yake, the time for him to be punished is coming, the blood of rwandans is upon Him and
sure He will be punished.
PK ni kiumbe mdogo sana ambae hataki mamilioni ya watu wakae kwa amani, Angalia watu wa goma na baadhi ya maeneo ya kongo
walivyoteseka kwasababu yake, angalia watu wa
rwanda walivyopoteza maisha baada ya vita iliyosababishwa na tamaa yake ya kutaka madaraka kwa nguvu 1994.
Anapewa sifa na waoga kama wewe kwamba nikiongozi mzuri, kiongozi mzuri wa mash uu ziiii labda, maana
kiongozi mzuri ni yule anayewaletea wananchi wake maendeleo kwa amani na utulivu na akitafuta majirani wema na sio kutengeneza maadui na kutengeneza fitina za kibaguzi.