Vyombo vya ulinzi vya Tanzania jiandaeni na uvamizi wa majasusi wa Rwanda. Sababu ni hii hapa...

Vyombo vya ulinzi vya Tanzania jiandaeni na uvamizi wa majasusi wa Rwanda. Sababu ni hii hapa...

Nawashangaa watanzania mbona povu linawatoka wakati ingetakiwa wanyarwanda kuchukia kitendo cha jk kumkaribisha FDLR tz,sasa ingekuaje kama pk angemualika adui yenu watanzania?
Adui wa TZ ni kagame na watu wote wenye tabia kama zake!
 
mods hebu toeni huu upuuzi, threads za hv znahamasisha chuki na vurugu
.. na wewe inaelekea ni mtutsi, na kama sio basi huwajui hawa watu vizuri. Pia kama unaona uzi unakukera wewe sepa tu, achana nao! sio lazima uchangie...
 
Nawashangaa watanzania mbona povu linawatoka wakati ingetakiwa wanyarwanda kuchukia kitendo cha jk kumkaribisha FDLR tz,sasa ingekuaje kama pk angemualika adui yenu watanzania?

povu lipo wapi ww acha ukenge wako.Linapokuja suala la uhatarishi wa amani kutoka nje lazima Watanzania tunakuwa wamoja muulize babaako kama alikuwa mkimbizi muda mrefu Tanzania atakuambia.
 
Huu ni uzushi! Nina hakika JK hawezi kumtumia mtu aliyechoka kiasi hiki kama picha ni ya kweli.
 
this is a joke of unimaginable proportion!!! wanaacha kuandika habari za bloodthirsty kagame wanakuja na issue ya genocide kila cku!!
 
Zipi hizo mbona Tz haina maneno na nyie? Zinduka usingizini Kagame anawadanganya na kuwapotezea concentration msahau kwamba kahodhi madaraka now 20 years.

Correction. Amekuwa rais mwaka 2003 na term moja ni miaka 7. Aliyehodhi madaraka ni Nyerere mbona hamkumuondoa?
 
Tuacheni mawazo ya vita watanzania wenzangu,kwani ikitokea madhara lazima yawepo pande zote.

Pili sisi sio wasemaji wa masuala ya usalama ya nchi,wenyewe wameshapita hapa na kujua kama hii ni pumba,propaganda ama chochote kila na kujua wafanye nini.

Mwisho hao mnaoita watutsi,wahutu nk ndani ya vyombo vyetu vua usalama ni watanzania wenzetu wa asili hivyo tuache ubaguzi.na kwa maoni yangu kuna faida nyingi kuwa nao kuliko hasara,angalia vyombo vya usalama vya usa utanielewa.
 
Hunahabari kwamba ametangaza kujiunga na FDLR ilikuiondoa serikali ya kigali kwa mtutu?

Nawashangaa watanzania mbona povu linawatoka wakati ingetakiwa wanyarwanda kuchukia kitendo cha jk kumkaribisha FDLR tz,sasa ingekuaje kama pk angemualika adui yenu watanzania?

1. Tatizo lenu hamtaki kukubali kuwa wenzenu tuna mtazamo tofauti juu ya FDLR. wakati nyinyi mnawaona hivi sisi tunawaona vile. Ndio maana hata huko Rwanda kwenyewe propaganda zenu zinaji-contradict. kwa upande mmoja mnadai FDLR ndio genocidaires, wahutu extremists ambao wanachukia watutsi kwa nguvu zote. Kwa upande wa pili wapinzani wa kitutsi kama rudasingwa, marehemu karegeya, himbara etc, wakishakuwa wapinzani wanavumishwa kushirikiana na na FDLR hiyo hiyo. Hivi inawezekanaje watu waliokuwa RPA miaka hiyo kujiunga FDLR kirahisi rahisi tu? Hii inathibitisha kuwa who FDLR are in Rwanda is largely propaganda, actually FDLR ina uhalali mkubwa tu. Nina uhakika hata mushikiwabo akifall out na kagame leo, tutaambiwa anashirikiana na FDLR kesho tu.

2. Adui wa Rwanda sio necessarily awe adui wa Tanzania. Tunao uhuru wa kuchagua marafiki. Mbona RPA ya kagame tuliwapa uwanja wa mazungumzo Arusha wakati kagame na RPA wakiwa waasi, tena waasi waliokuwa wanashambulia nchi huru ya Rwanda kwa miaka minne? Tungeweza vile vile kukubaliana na definition ya RPA toka kwa Habyarimana sio? Sasa leo tofauti ni nini kwa FDLR? Kama tuliongea na RPA wakati ule wakiwa waasi, kwa nini isiwe halali kuongea na FDLR ambao wako political zaidi kuliko kijeshi. Kila mtu anajua kuwa Tanzania ni watu wa amani. As long as tunazungumza tu, i don't see a problem at all. Tatizo lenu mnajua kuwa FDLR inakubalika sana na majority Rwanda, hivyo mnajaribu kuwa discredit popote pale.
 
Mwisho wao ushafika...hata hao wanaojiita waha, wahangaza nk..tulizani wenzetu kumbe wana yao..
 
Zipi hizo mbona Tz haina maneno na nyie? Zinduka usingizini Kagame anawadanganya na kuwapotezea concentration msahau kwamba kahodhi madaraka now 20 years.

Kwa taarifa yenu nyie ndio mko usingizini,juzi wakati wa chokochoko za rwanda na tanzania ilikua wakati CHADEMA ilikua imewasha moto dhidi ya ccm ikabidi jamaa walianzishe na kigali,sasa wanarudia tena kuna jambo tu,tusubiri.
 
Makamasimba, unajua ni kwanini PK anaegemea Kenya na Uganda?????Jibu ni rahisi, utawala wake unakubalika kwa watutsi wachache huku akipingwa na wahutu wote wa Rwanda na baadhi ya watutsi anaoendelea kuwaua ndani na nje ya Rwanda. PK ana maadui wengi kuliko Kikwete kweli? sasa kama ni hivyo PK kwa sasa anadhani TZ ni adui yake namba moja lakini sio kweli adui namba moja wa PK ni hao wahutu na watutsi anaoua kila kukicha. TZ haijawahi na haitawahi kuivamia ncho yoyote ile ila Rwanda kwa mwendo huu tunaouona inaweza kuanzisha vita na TZ kwa kigezo kwamba umoja wa kiuliunzi waliouanzisha na uganda na kenya utamsaidia wakati wa vita. TZ haijaguliwi iongee na nani yeyote yule itaongea naye ilimradi taratibu zimefuatwa. Karibuni FDLR ninyi ni wanyarwanda na hivyo ni majirani kama walivyo akina PK na Mkamasimba
 
MUKAMASIMBA,
Unashangaa kwanini Watanzania wanahemuka kwa jazba? Hivi unafahamu maana ya propaganda? Leo hii Tanzania ikitaka kuishambulia Rwanda au nchi yoyote ile, kitu cha kwanza ni ku-frame propaganda! Wakati George Bush anataka kuivamia Iraq, alianza kwanza kutangaza kwamba Iraq wana Weapons of Mass Destruction (WMD). Wakati Amin anataka kuivamia Tanzania alianza kwanza kutangaza kwamba Mkoa wa Kagera ni sehemu ya Uganda! Sisemi kwamba hiyo habari ya News of Rwanda nayo ni propaganda ya Rwanda dhidi ya Tanzania but no one peace of information need to be ignored in any way provided it's interest in national security! Media inapoandika kwamba J.K amemkaribisha mbaya wa Kagame tena kama special guest huku akipewa hifadhi ya siri, hapo ni kwamba panatengenezwa kitu. Na kwa jinsi haya mambo yalivyo, watengenezaji kila cku watakaa pembeni kusubiri reaction. Na kwa kumfahamu jinsi Kagame alivyo, hatutashangaa hata siku moja akija kutoa kauli za hovyo hovyo dhidi ya Tanzania/JK. So, shouldn't Tanzanians be curious about the news?

Nakubaliana na wazo lako,lakini kwanini kwa upande mwingine usiwe ukweli? kwani watu wameanza kuropoka matusi dhidi ya watusi wakati hawaja ujua ukweli,inaonekana watanzania mnawaogopa watusi sana,nakumuogopa mtu maranyingi unakua unayajua maovu uliyo mtendea,ndio maana kila wakati unakua unahisi vita tokea rwanda.
 
Hakuna cha propaganda hapo,tatizo wanyarwanda inteligensi yao iko juu,wanajua kinachoendelea tz,sasa kama nyie hamkuzikamata ni uwezo wenu mdogo, habari ndio hiyo, kingine nikwamba rwanda haina haja ya kuanzisha vita na taifa kubwa lenye nguvu kama tanzania wanalijua hilo,sasa mkiambiwa ukweli eti propaganda.
Mwanaume anathubutu kusema habari ndo hiyo au chezea wewe sijui huwa namwonajeeeee, ka vile dumejike inakera kweli
 
1. Tatizo lenu hamtaki kukubali kuwa wenzenu tuna mtazamo tofauti juu ya FDLR. wakati nyinyi mnawaona hivi sisi tunawaona vile. Ndio maana hata huko Rwanda kwenyewe propaganda zenu zinaji-contradict. kwa upande mmoja mnadai FDLR ndio genocidaires, wahutu extremists ambao wanachukia watutsi kwa nguvu zote. Kwa upande wa pili wapinzani wa kitutsi kama rudasingwa, marehemu karegeya, himbara etc, wakishakuwa wapinzani wanavumishwa kushirikiana na na FDLR hiyo hiyo. Hivi inawezekanaje watu waliokuwa RPA miaka hiyo kujiunga FDLR kirahisi rahisi tu? Hii inathibitisha kuwa who FDLR are in Rwanda is largely propaganda, actually FDLR ina uhalali mkubwa tu. Nina uhakika hata mushikiwabo akifall out na kagame leo, tutaambiwa anashirikiana na FDLR kesho tu.

2. Adui wa Rwanda sio necessarily awe adui wa Tanzania. Tunao uhuru wa kuchagua marafiki. Mbona RPA ya kagame tuliwapa uwanja wa mazungumzo Arusha wakati kagame na RPA wakiwa waasi, tena waasi waliokuwa wanashambulia nchi huru ya Rwanda kwa miaka minne? Tungeweza vile vile kukubaliana na definition ya RPA toka kwa Habyarimana sio? Sasa leo tofauti ni nini kwa FDLR? Kama tuliongea na RPA wakati ule wakiwa waasi, kwa nini isiwe halali kuongea na FDLR ambao wako political zaidi kuliko kijeshi. Kila mtu anajua kuwa Tanzania ni watu wa amani. As long as tunazungumza tu, i don't see a problem at all. Tatizo lenu mnajua kuwa FDLR inakubalika sana na majority Rwanda, hivyo mnajaribu kuwa discredit popote pale.
Sina mengi ya kukueleza kwani hata wewe mtizamo wako uko static,yeyote anayeshirikiana na FDLR yeye anakua amejibatiza genocide ideology,sasa hao watusi unaosema eti walikua RPA wao ni uchu wa madaraka tu wanatafuta watu wakuwasaidia kufika madarakani na wakifaniokiwa watawamwaga tu,kwani kuna usemi usemao adui wa adui yako ni rafiki yako,sasa hakuna cha ajabu hapo,na hawatafanya lolote rwanda kwani majority ya wanyarwada wako nyuma ya rais wao,tena wanahitaji amani.
 
wewe ndio mtizamo wako uko static. mimi hainingii akilini kuwa mtu aliyewahi kuwa RPA miaka yote hiyo aungane na FDLR simply kwa kutaka madaraka, hao FDLR unadhani ni wapuuzi kiasi gani? Na kama FDLR ni maadui wa watutsi kwa nini waungane na watutsi, tena watutsi waliokuwa wanapigana nao toka 1990, watutsi waliosababisha leo hii FDLR wawe ukimbizini?
Ukweli ni kuwa kuwa ukishakuwa against RPF hata uwe nani, wewe ni adui wa Rwanda. Haiwezekani watu wote wanaohama RPF wawe mafisadi, magaidi, revisionists .....
 
Adui wa TZ ni kagame na watu wote wenye tabia kama zake!

[h=1]Rwandan Opposition in Diaspora beat drums of war[/h] Posted by: editor Posted date: January 15, 2014 In: News | comment : 1
By Robert Mugabe
newsdesk@greatlakesvoice.com
Kigali-Rwanda-Rwandan troops and heavy artillery remain stationed along the borders with DRC –as available information indicates that Rwanda rebels based in Eastern DR Congo (FDLR) has been empowered and formed marriage of convenience with almost vital opposition parties to fight Kigali government.
Former Presidential candidate, Faustin Twagiramungu's RDI-Rwanda Rwiza joins forces with FDLR and PS-Imberakuri yesterday to create a stronger united political opposition (with an internationally recognized armed wing FCLR-UBUMWE) is seen to put Rwandan politics on an equal footing.
Though, a diplomat who talked to GLV on condition of anonymity for he said it's not his country's position said, Kigali is seen well prepared and Kagame has warned of regional "catastrophe on DRC if UN fails to handle FDLR."
A well place security source has told GLV that Rwanda is ready to go to DRC with or without international community's blessings. "…But things are being discussed in the on-going International Conference on Great Lakes Region (ICGLR) platform."
"We have classified information that some hostile countries are equipping FDLR and other anti-Rwanda forces, we also know that MONUSCO is not doing enough to disarm FDLR, so we are ready as the commander in-chief orders we shall be engaging FDLR."
Regional Security pact
Rwanda, Uganda and Kenya recently in Kigali signed a security pact that enables the three countries to mobilize army if one of them is attacked. Also the pact that GLV has seen indicates the mutual share of intelligence and fight terrorism is handled at ago.
The former chief spy who was murdered in South Africa, Patrick Karegyeya is said to have been commanding and providing vital information to FDLR to throw grenades in Kigali. Also Karegyeya is not only considered as the main architect of M23 defeat, but also the idea of mobilizing UN intervention force to Flash out DRC rebels.
Classified reports that GLV has seen indicates that Karegyeya was the architect of the deal to lure Tanzania and Malawi in the DRC conflict.
Regional conference of ICGLR is underway in Angola, is chaired by President Jose' Dos Santos, and is discussing on peace, security and stability in the region.
The summit in Angola, is to discuss about peace, stability and development in the region with a focus on the current situation in the Democratic Republic of the Congo (DRC), the Central African Republic (CAR) and South Sudan.
 
Back
Top Bottom