wewe nadhani ni zer o
kabisa na ninaimani wewe ulisahaulika kwenye operation kimbunga na ni
mtu ambae hujali utu, msimamo wa JK unauelewa kweli au ndio unakurupuka
kuandika usivyovijua?,,,. Soma kwanza alichokisema JK harafu ndio uone
msimamo wa PK umeelekea wapi!,
Rwanda is for Rwandans(Tutsi, Hutu, and others bone in rwanda) it is
not for Kagame!! Peace is for all rwandans. Mungu kawapa nchi wote,
kutofautiana kimawazo kupo lakini kutatua tofauti hizo za
mawazo ndio kitu ambacho kagame anaona nikigumu kufanyika.
Kagame anawavalisha ngozi ya mauwaji FDLR akidhani wanyarwanda watasahau
ukweli kuhusu yeye! this will never happen to rwandans
wanamsifu mdomoni ila mioyo yao imejaa kisasi juu
yake, the time for him to be punished is coming, the blood of
rwandans is upon Him and sure He will be
punished.
PK ni kiumbe mdogo sana ambae hataki mamilioni ya watu wakae kwa amani,
Angalia watu wa goma na baadhi ya maeneo ya kongo
walivyoteseka kwasababu yake, angalia watu wa
rwanda walivyopoteza maisha baada ya vita iliyosababishwa
na tamaa yake ya kutaka madaraka kwa nguvu 1994.
Anapewa sifa na waoga kama wewe kwamba nikiongozi mzuri, kiongozi mzuri
wa mash uu ziiii labda, maana kiongozi mzuri ni yule
anayewaletea wananchi wake maendeleo kwa amani na utulivu na akitafuta
majirani wema na sio kutengeneza maadui na kutengeneza fitina za
kibaguzi.
Yaa uko sawa kabisa kuna watu walisahaulika kwenye operation kimbunga