Unawahau Malori ya mchanga....
Hawq wanakupigia mihoni puuuuuuuuu pooooio poooooo
Unawasahau watembea kwa miguu hawa nao wanakera hatari
CD kidogo wastaarabuInategemea. Kwa mjini hapa bodaboda na bajaji na PT ndio wenye fujo.
Ila kwenye highway za mikoani aisee ogopa sana ST SU. Hawa jamaa ni nini sijui kinawapataga wakishavuka mlandizi. DFP na CD aanakimbia yes but angalau wanajali watumiaji wengine wa barabara I guess kwasababu kuna mkono wa wazungu. Ila ST na SU wakianza kuovertake wanatoka wote kazi kwako unayekuja uwapishe.
Wavumilieni watembea kwa miguuHahaha yani mtembea kwa mguu anakutaka wewe ndio uwe makini yeye hajali gari iko speed anataka avuke, apite pembeni ya barabara kama konokono wewe ndio umkwepe doh! Ajabu ikiwa sehemu kuna kidimbwi cha maji wanakuwaga makini ili tu asimwagiwe maji!
1.bodaboda-hawa bangi na viroba huenda vinawapeleka mbio
2.bajaj-hawa nao kama bodaboda tu
3.daladala-hawa nao bangi na viroba vinawakimbiza kusaka hesabu
4.Subaru,Altezza-wazee wa ligi na kelele
5.taxi zenye mistari
6.vigari vidogo ist,Passo etc hawa sijui shida ni nini
7.vyombo vyenye namba zinaanzia ST,PT,UT,DFP,SU, hawa wanahisi wako juu ya sheria wanasahau wakipiga mzinga maumivu hayajui wewe ni nani
Very much so hata wakiwa highways. Powerful cars ila wanaendesha vizuri.CD kidogo wastaarabu
Mungu anisamehe ila nikikuta bodaboda zimegongana sisikitikiHii list imekamilika, no 6 wanavunja mno sheria hata wapate ajali hawatakaa wabadilike!
No 5. Udogo wao unawafanya wawe na fujo zaidi maana kanafasi kadogo tu kanamtosha hivyo inakuwa rahisi kuchomekea mara kwa mara.
No 3,2,1, huu ni ugonjwa nahisi tiba yake walipaswa wawe na line yao inayojitegemea pembeni huko ili wakaparuane wenyewe kwa wenyewe.😂🤣😂🤣
Jamaa alisahau kabisa kuwa ana mzigo mpana au ni akili yake haina ushirikiano?