Vyombo vya usafiri vinavyoongoza kwa vurugu barabarani

Kama anataka kupishwa atembee na escort ya polisi na vingora. Sio anawahi mchepuko wake hoteli halafu analeta haraka za uwaziri.
 
Unawahau Malori ya mchanga....
Hawq wanakupigia mihoni puuuuuuuuu pooooio poooooo
Unawasahau watembea kwa miguu hawa nao wanakera hatari

Watembea kwa miguu wanatumia motor kwenye miguu ili wawe kwenye kundi la vyombo vya moto?
 
Akiwepo Trafiki ungepigwa faini, Traffic Road Act inatambua unatakiwa wapisha hao wazito!.
Nachojiuliza ile sheria ya kutotembea polepole kwanini polisi hawaitumii!!..
 
SUBARU dah. Sijui wana nini. Wanajionaga kama wanaendesha performance cars.
 
Akiwepo Trafiki ungepigwa faini, Traffic Road Act inatambua unatakiwa wapisha hao wazito!.
Nachojiuliza ile sheria ya kutotembea polepole kwanini polisi hawaitumii!!..
Kwahio ningetumbukia mtoni au bondeni kisa 'mkubwa' anapita.
 
SUBARU dah. Sijui wana nini. Wanajionaga kama wanaendesha performance cars.
Kwani Subaru zao sio performance cars? Zile gari zina mzuka. Starehe yake ni kukimbia hazina starehe nyingine. Ukinunua Subaru WRX STI then unaendesha kama Toyota premio ni waste of resources. Bahati mbaya nchi yetu haina maeneo ya kutumia hizo gari ipasavyo matokeo yake wanaziiungurumisha mitaani
 
Kuna mtu aliniambia hao bodaboda kushinda juani ile harufu ya petrol inawalevya ndo maana wanakuwa mazuzu!

Sema hao wenye baby walkers ni kama vile watu wafupi....wanakuwa na mbwembwe nyingi ili waonekane maana wanaona wanadharaulika tu daima. Hawawezi acha jimwambafai
 
Tena hasa zile za machiba ndo kabisaaa
 
Aisee...unatafuta ugomvi sio?
 
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…