ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kama anataka kupishwa atembee na escort ya polisi na vingora. Sio anawahi mchepuko wake hoteli halafu analeta haraka za uwaziri.Kwenye foleni hapa mjini huwa wanatanua ili uwapishe. Huwa sipishi, kuna siku nilikomaa nikagoma kupisha gari ina namba W.....
Eti amekwepa foleni analazimisha mimi ambae niko kwenye upande wangu niingie kwenye dimbwi nimpishe yeye, siku hio alilazimika kurudi upande wake