Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
hakuna wavumilivu km wenye Malori, angalia ule moto wa Msamvu Morogoro, Tanker liliogopa Bodaboda iliyokatiza mbele yake bila ya kufuata sightMalori wastaarabu sana, wangekuwa kama bodaboda au bebi woka tungekufa sana
Bajaj zinaongoza jamani, yaani mpo keep-left atapenya hadi mbele yako tena wrong site akae mbele tako na akifika mbele hana mwendo atang'ang'ania akae katikati ya barabara, kweli wawekewe Line yao au wasiruhusiwe kwenye Highway