Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Orodhesha hayo matendo. Aidha unapowaambia polisi wasitumie nguvu wape basi tehcnics mbadala za wenzetu nchi zilizoendelea wanaofanya bila kutumia nguvu je wafanye nini?Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua wananchi.
Wananchi wanaendelea kupotea wakiwa mikononi mwa polisi na kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi au wanajeshi. Je, haya si makusudi kutaka kumpima Rais?
Aonekane ni dhaifu hawezi wakemea au kuwa yeye hajali wananchi wa huku?
Haya mambo yasiachwe hivi hivi lazima hatua zichukuliwe.
Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua wananchi.
Wananchi wanaendelea kupotea wakiwa mikononi mwa polisi na kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi au wanajeshi. Je, haya si makusudi kutaka kumpima Rais?
Aonekane ni dhaifu hawezi wakemea au kuwa yeye hajali wananchi wa huku?
Haya mambo yasiachwe hivi hivi lazima hatua zichukuliwe.
Matenda hayo hayo machafu ya polisi ndiyo yaliyompa kuwa makamu wa rais 2020. Hivyo hawezi kuwafanya lolote la maanaMatukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua wananchi.
Wananchi wanaendelea kupotea wakiwa mikononi mwa polisi na kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi au wanajeshi. Je, haya si makusudi kutaka kumpima Rais?
Aonekane ni dhaifu hawezi wakemea au kuwa yeye hajali wananchi wa huku?
Haya mambo yasiachwe hivi hivi lazima hatua zichukuliwe.
POLISI Wameamua Kuua na kupora Mali za RAIA badala ya Kulinda RAIA na Mali zaoMatukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua wananchi.
Wananchi wanaendelea kupotea wakiwa mikononi mwa polisi na kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi au wanajeshi. Je, haya si makusudi kutaka kumpima Rais?
Aonekane ni dhaifu hawezi wakemea au kuwa yeye hajali wananchi wa huku?
Haya mambo yasiachwe hivi hivi lazima hatua zichukuliwe.
yaani Kuna watu walikuwa watimuLiwe siku anaapishwa kwa kuwa ni waongo wa taifa kwa mfano ;-Acha maneno mengi, kama unahisi mama anahujumiwa you're wrong, rais anajihujumu yeye mwenyewe, kwani yeye hayupo ndani ya nchi anayoiongoza hasipate taarifa yaatukio kwa wananchi wake!?? Yeye anatakiwa asimame na akemehe lakini kama umemsikia leo anasema hawezi fukuza wasaidizi wake wanaokosea utasemaje anahujumiwa!?.
Yalikuwepo toka kitambo ila tofauti ya Sasa ni kwamba watu ni wepesi kutoa taarifa na pia mitandao ya kijamii inachangia Sana..Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua wananchi.
Wananchi wanaendelea kupotea wakiwa mikononi mwa polisi na kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi au wanajeshi. Je, haya si makusudi kutaka kumpima Rais?
Aonekane ni dhaifu hawezi wakemea au kuwa yeye hajali wananchi wa huku?
Haya mambo yasiachwe hivi hivi lazima hatua zichukuliwe.
Rais alipoingia madarakani aliwabana sana Hawa watu wa vyombo vya usalama wa raia na madawa ya kulevya pia Ila Sasa naona wanajifanyia wanayotaka tu.Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua wananchi.
Wananchi wanaendelea kupotea wakiwa mikononi mwa polisi na kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi au wanajeshi. Je, haya si makusudi kutaka kumpima Rais?
Aonekane ni dhaifu hawezi wakemea au kuwa yeye hajali wananchi wa huku?
Haya mambo yasiachwe hivi hivi lazima hatua zichukuliwe.
Hiyo ya kwanza mbona hata yeye mama Samia alisema Magufuli anawasalimia Sana siku moja kabla ua kutangaza kifoyaani Kuna watu walikuwa watimuLiwe siku anaapishwa kwa kuwa ni waongo wa taifa kwa mfano ;-
MAKOSA YA KATELEFONI
Alitudanganya kuwa
(1)kuwa marehemu yupo anachapa KAZI nyie watz mlitaka aende magomeni
(2)Tanzania tuna umeme wa kutosha kuwagawia wawekezaji kutoka nje ya nchi
(3)huko Kwa kina katelefoni walizusha hii ni serikali ya mpito Tu AwaMu ya sita inakuja
(4) Leo 14 January 2022 ni siku ya 40 ya mwaka mpya 2022.