Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Kusoma unajua? Ni wapi nataka kumsifu sirro? Nimekuambia haya ya sasa huko nyuma yametokea Sana na hata huko mbeleni tutasahauSo unatakq kumsifu Siro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma unajua? Ni wapi nataka kumsifu sirro? Nimekuambia haya ya sasa huko nyuma yametokea Sana na hata huko mbeleni tutasahauSo unatakq kumsifu Siro?
Kwa hiyo yamezidi Yale ya kufungasha watu kwenye viroba na kukutwa wakielea baharini?Acha uongo saizi yameongezeka!
Kusoma unajua? Ni wapi nataka kumsifu sirro? Nimekuambia haya ya sasa huko nyuma yametokea Sana na hata huko mbeleni tutasahau
Kwani hayo yameanza Jana au leo? Upuuzi wa polisi umekuwepo miaka yote ila saizi angalau taarifa zinatokaWameruhusiwa kuzikunja kunja sarafu za Tshs 1,000,2,000,5,000 ama hata 10,000 kama fedha ya kupigia viatu brush,kupora vielelezo kama simu,fedha,vito nk toka kwa mateka wao,kubambikia raia wema kesi za kisiasa au kutengeneza mazingira ya rushwa.Nchi ipo Auto Pilot Flight Mode kwa muda sasa ila wananchi wanafichwa ukweli na watawala.
CCM na mabaki/masalia ya nchi ya Tanganyika vilishakufa pale walipofuta Azimio la Arusha.Hauwezi kuvuka bahari kwa baiskeli.Nchi haijengwi kwa maigizo haya ya wezi wa kura-CCM na watawala wao wa michongo.
Huo ni uhalifu tu, japo mnajitahidi kuutumia kisiasa,, marekani taifa kubwa ndo lina matukio ya hatari sana ya uhalifu lakini huwezi kusikia wanasiasa wasnaanza kuyatumia kisiasa,,Acha maneno mengi, kama unahisi mama anahujumiwa you're wrong, rais anajihujumu yeye mwenyewe, kwani yeye hayupo ndani ya nchi anayoiongoza hasipate taarifa yaatukio kwa wananchi wake!?? Yeye anatakiwa asimame na akemehe lakini kama umemsikia leo anasema hawezi fukuza wasaidizi wake wanaokosea utasemaje anahujumiwa!?.