Vyombo vya Usalama vinamhujumu Rais kutokana na matendo maovu kushika kasi

Yalikuwepo toka kitambo ila tofauti ya Sasa ni kwamba watu ni wepesi kutoa taarifa na pia mitandao ya kijamii inachangia Sana..

On top of that Rais karuhusu watu wafunguke tofauti na enzi za Giza.
Nakubaliana na wewe haya mambo yalikuwepo na yataendelea kuwepo
Ila tatizo lenu nyie mlianza kusema kwa mama Samia hayatakuwepo
 
Raisi aliwabana vyombo vya usalama? Ilikua mwaka gani huo?
Kwa bongo hii raisi hawezi kuwabana vyombo vya usalama maana hao ndio watu wanamuweka madarakani.
Achana naa story za majukwaani, hata jiwe, kikwete walikuwa wanawaponda polisi ila baadae wanawatumia, hivyohivyo kwa hangaya.
 
Kwanza utanikosea sana ukiniambia nina story za majukwaani tuwe na staha kidogo tunapohisi tuna mawazo tofauti na wengine.

Naongelea jambo ambalo lipo wazi sana sielewi kwa sababu gani imekuja kunijibu kwa maneno yenye tashwishwi namna hii.

Labda kama haukumbuki au haufahamu kwamba Rais alipoingia madarakani aliwashutumu sana polisi na kuwahimiza sana kuwa na weledi mkubwa na akatoa maelekezo kwa IGP abadilishe baadhi ya makamanda wa mikoa na vikosi na akamtaja kabisa kwa jina na kusema huyu aliyekuwa Mwanza arudishwe Dar sababu aliuweza mji alimsifia kabisa na kusema wengine wawe mfano kwake kwa utendaji wa kazi.

Rais bado amekuwa akiwatolewa mfano polisi kwenye matukio mengi tu, mfano aliwahi kuongelea alipokamatwa na traffic police kule kwao kabla hajawa Rais Ila alikuwa mkubwa nadhani waziri anaongelea namna walivyo na utendaji wa hovyo.

Hata juzijuzi aliongelea tena utendaji wa polisi na kumtaka yule polisi anasifia pombe ya gongo ambaye imebidi asakwe na afukuzwe kazi.

Rais amekuwa akieabana sana ndio maana nimesema hivyo Sasa ndugu yangu hizi siasa za majukwaani ndio wote tunazisikiliza maana ndiko siasa inakopigwa huko kwingine ni utendaji sio siasa utendaji haupo majukwaani.
 
Uonevu umezidi sana kwakweli,mm nimeshajipaga kwa kuongea na mganga wangu ili bwege yoyote akinionea afe bila kuugua
 
Yalikuwepo toka kitambo ila tofauti ya Sasa ni kwamba watu ni wepesi kutoa taarifa na pia mitandao ya kijamii inachangia Sana..

On top of that Rais karuhusu watu wafunguke tofauti na enzi za Giza.
Wameruhusiwa kuzikunja kunja sarafu za Tshs 1,000,2,000,5,000 ama hata 10,000 kama fedha ya kupigia viatu brush,kupora vielelezo kama simu,fedha,vito nk toka kwa mateka wao,kubambikia raia wema kesi za kisiasa au kutengeneza mazingira ya rushwa.Nchi ipo Auto Pilot Flight Mode kwa muda sasa ila wananchi wanafichwa ukweli na watawala.
CCM na mabaki/masalia ya nchi ya Tanganyika vilishakufa pale walipofuta Azimio la Arusha.Hauwezi kuvuka bahari kwa baiskeli.Nchi haijengwi kwa maigizo haya ya wezi wa kura-CCM na watawala wao wa michongo.
 
2015-2020.
 
Nimekuuliza ni raisi gani alikuwa hasemi hayo? Jiwe wakati anaingia alikua akiwasema na hadi akambadilisha IGP, akambadilisha makamanda wote Ila nini kimeendelea?
Ni sawa na sasa, hangaya kawasema sana hao polisi kila Mara, nini kimebadilika?
 
IGP yeye anajali mkono uende kinywani. Mengine mtajijua wenyewe.
 
Muhimu ni kuwa angalia Watanzania walioathirika na matendo ya polisi. Hata polisi wakiamua kuua kila siku mtanzania 1, bado Samia ata endelea kuwa Rais mpaka CCM wakiamua wenyewe.
Ukweli Mchungu. As Long As Polisi ndio wanaomuweka madarakani basi hana cha kuwafanya.
 


Ni muda wa Sirro kuwa balozi
 
Kwa mfano hili la Kingai na Mboye ni tooo much
 
Hakukuwa na ubambikaji na Jeshi kujihusisha na saisa kwa kiasi hicho.
Umezaliwa lini? Maana huenda ulikua mdogo, ni kawaida pia kusahau ya nyuma na huenda atayekuja baada ya sirro tutasema afadhali ya sirro.
 
Umezaliwa lini? Maana huenda ulikua mdogo, ni kawaida pia kusahau ya nyuma na huenda atayekuja baada ya sirro tutasema afadhali ya sirro.
So unatakq kumsifu Siro?
 
Hiyo ya kwanza mbona hata yeye mama Samia alisema Magufuli anawasalimia Sana siku moja kabla ua kutangaza kifo
WOTE Hawa ni
WAONGO WA TAIFA
na tunasubiri Sasa chawa wao TBCCM wanakuja kutuambia kuwa ;-
KWENYE ILANI YAO YA UCHAGUZI YA 2020-2025 YENYE KURASA 309
TUMETEKELEZA MPAKA SASA UKURASA WA 303 BADO KURASA 6 TU KWA MIEZI 12 SASA TUNAMLIZIA KAZI .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…