Vyombo vya Usalama vinamhujumu Rais kutokana na matendo maovu kushika kasi

Sijajua unataka kujenga hoja gani.Kwa kifupi nikisema bora IGP Mangu namaanisha tulipotoka kulikuwa na nafuu
Kusoma unajua? Ni wapi nataka kumsifu sirro? Nimekuambia haya ya sasa huko nyuma yametokea Sana na hata huko mbeleni tutasahau
 
Kwani hayo yameanza Jana au leo? Upuuzi wa polisi umekuwepo miaka yote ila saizi angalau taarifa zinatoka
 
Huo ni uhalifu tu, japo mnajitahidi kuutumia kisiasa,, marekani taifa kubwa ndo lina matukio ya hatari sana ya uhalifu lakini huwezi kusikia wanasiasa wasnaanza kuyatumia kisiasa,,
Jengeni chama mpate wafuasi wengi ili waweze kuwachagua moate vyeo,
Huwezi pata madaraka kwa style hii
 
Reactions: Tui
Act-wazalendo zitokabwe niondoeni mapema kwenye kusema mkomkono mmoja na ccmserikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…