Vyombo vya Usalama vinaweza kufuatilia mawasiliano kwa kibali halali

Umesema vyema wakishafuatilia wanatakiwa kumfanya nn mtuhumiwa. Je ni kweli Tigo walitoa mawasiliano kwenye vyombo hivyo? Kwa nia gani? Na kama walitoa mawasiliano halafu aliyekuwa anafuatiliwa baadaye akashambuliwa badala ya kukamatwa na kupelekwa kunakostahili nani mwenye hatia? Tusijadili mambo kishabiki!
 
M

Mbona hawawezagi kufuatilia tunaporipoti kutapeliwa Mitandaoni? Mimi Nina RB ya kutapeliwa na wauza Vyombo mitandaoni tangu 2023 sijapata ufumbuzi. Niliwalipa tena Bank lakini hawashughulikiwi. Hii ya huko Ulaya ndiyo wataweza?
Ukiona hawafanyi hawana interest nayo or hujawapa chochote. Thats the reality pole
 
Uzuri wa mtandao, ukijifanya unajua, jua kuna wanaojua kuliko wewe. Soma majibu ya palm beach
 
Total rubbish, hata CIA, au, FBI, haiwezi, kuamka tu asubuh na kwenda ku tap, na kuanza kufatilia mazungumzo ya mtu kama Trump, bila kuwa na Court order,
Sasa we bro, usifanye TZ kama Ulaya, waliofatilia mawasiliano ya Lisu, ni state sponsored thugs, ni idara za usalama na ujasusi za serikali kwa maagizo ya mabwana zao CCM, ili wamuue,period, idara zetu hazina tofauti na Gestapo ya Adolf Hitler, au mukarabat ya Sylia,
Mawasiliano, ya, Lisu, yalifatiliwa, ili auwawe, period!
USA, wakiwa, wana informers katika kila msikiti, na, jamii za, wa Islam, lakini hawarekodi, mazungumzo bila kibari cha, mahakama!jaji,
Na sheria, Karina hauifati kama bwege au kipofu, kipindi cha Apartheid, mtu mweusi kwenda maeneo ya weupe, Ali kuwa anavunja katiba! Je, katika muktadha, wa, human, right ni sawa?
Lisu, angejikaanga vipi kwa kujibu Hilo swali,? It was, illegal, na mwishowe akala risasi 36! Kama Ali kuwa anahatarisha usalama wa nchi, na ikabidi ashughurikiwe, si yupo bongo, mbona hajafunguliwa mashitaka!
Usomi wa kukalili shida Sana.
 
CC johnthebaptist na comte
 
CC johnthebaptist na mwenzie comte
 
Umesahau kuna taratibu za kisheria zinakiwa ziguatwr nanvyombo husika kutimisza hilo. Sio kufuatilia kihuni kama unafuatilia mchepuko
Kwa hiyo inaruhusiwa kisheria kufuatilia bebi wako (tracking her phone location etc? Mbona kuna Apps nyingi tu Playstore ambayo mtu anaweza download freely na kuanza ku track simu ya bebi wake au ya anayemlia bebi wake hata kama mtu huyo ni Tundu Lissu.
 
Nonesense , wapumbavu kama wewe ni wengi nchi hii na ninyi ndio mzigo kwa hii nchi , wewe unarathimisha abuse ya power Kwa kuingilia privacy ya raia na kuhatarisha usalama wao na unasherehekea kabisa mpumbavu wewe .
Tundu Lisu alikuwa na crime gani mpaka iliyosababisha mpaka hao wahuni kuingilia mawasiliano yake na mpaka wakatrack na kujaribu kumuua pale Dodoma ? Au huo ushenzi ndio unaita usalama wa Taifa , hivi unajua tofauti ya illegal mass surveillance na invasion of privacy na "Judiciary warranted crime investigation surveillance ?
Au unadhani mataifa mengine yenye mifumo inayofuata haki wanafanya surveillance kinyemela tu na kishenzi ili kupromote matakwa ya wahuni wachache na kuhatarisha usalama wa watu na privacy zao ?
Kwanza hata police generaI order ya Tanzania ,hii PGO ya enzi za mkoloni bado tu hairuhusu mtu kufanyiwa udukuzi na surveillance bila warranty ya judge WA mahakama kama criminal investigation procedures zinavyosema .
Ni upumbavu nchi hii vibaka wa polisi na TISS wanaenda kuteka watu na kuwafanyia torture na murder na udukuzi wa taarifa zao za mawasiliano bila warranty au order ya mahakama ,
Huu ni ushenzi mkubwa ni as if hii nchi inaendeshwa kwa order ya mbwa koko wachache wa ccm ,hii sio nchi

Yaani tuwe na taifa ambalo washenzi tu as long as wana power serikalini au chama tawala wanaweza kutoa order flani afuatiliwe mawasiliano yake taarifa zake na kuingilia faragha zake na usalama wake kwa matakwa yao tu bila kuwa justified na mifumo ya haki na sheria (mahakama) kutoa justification au kibali cha kufanya hivyo ?
Unafikiri mpumbavu kama wewe unakuwa upo salama katika nchi kama hii ?
Au ndio tabia yenu watz akili fupi na kufikiri kwa urefu wa pua zenu bila kuangalia haya mambo kwa upana na effects zake kwa jamii nzima ?

Erick kabendera ,Ben saanane ,Tundu Lisu , Deusdedith Soka , Azory Gwanda nk walikuwa na crime gani mpaka kufanyika yaliyofanyika na kupata madhila ya kidhalimu yaliyowapata na mpaka wengine wamepotezwa au kuuawa mpaka leo hawajulikani walipo , wewe unaona hii ni kawaida si ndio ?
 
Ilichofanikiwa ccm nchi hii ni kuua kabisa uwezo wa watu kutumia akili , yaani tuna misukule hii nchi hii .
Halafu utakuta wewe ni mwalimu kabisa na unafundisha civics
 
Msisitizo upo hapa "... with court orders or other legal authorization...".
Nadhani unajua maana ya neno 'OR' inamaanisha 'AU' kwa kiswahili.... That said, inamaana kuwa inaweza kuwa kwa amri ama kibali cha mahakama, au mamlaka nyinginezo za kisheria...... Kwa hiyo siyo kila mara itatumika amri ya mahakama. Nyakati nyingine zitatumika mamlaka zingine zenye nguvu ya kisheria kufanya hivyo.
Kadhalika, kibali cha mahakama hata kikiwepo hakitangazwi kwa kila mtu.
 
Ndg. PALM beach nashukuru kwa muda wako na kwa namna umejibu andiko langu. Hata hivyo nasikitika kuwa hoja yangu yote imekupiga chenga. Kwanza mada yangu haikujadili wala haikukusudia kujadili habari ya kesi uliyoiongelea. Vilevile hoja yangu mm haiongelei chochote kuhusu aliyosema Tundu Lissu bali ambayo hakuyasema. Alipoulizwa swali ikiwa zipo mamlaka zinazoweza kufuatilia mawasiliano ya mtu kisheria, hakujibu swali hilo. Badala yake alitoa kauli za jumla zisizojibu swali kuwa katiba imelinda faragha ya watu.
Nia ya post yangu imebaki kuwa kuelezea kuwa zipo taasisi zinazoweza kuruhusiwa kisheria kufuatilia mawasiliano ya mtu..... Lakini kama ungekuwa makini ungeona pia kuwa wakati mwingine kuendana na mazingira ya kiusalama, vyombo vinaweza "kuingilia" Mawasiliano ya mhusika. Hoja ya kesi za Lissu ama yeyote sijaziongelea kwenye post yangu. Wewe umezitoa wapi?
 
Narudia tena with court orders and other legal authorization
Yaani kwa akili yako chombo cha usalama kama JWTZ kinapobaini kuna mtu au kundi la watu wanaotishia usalama wa nchi, kikaombe kwanza court orders kuruhusiwa kufuatilia hao magaidi. Hata hiyo Scotland yard ya uingereza na FBI ya Amerika huwa haihitaji kibali cha mahakama ku track wanaohusiwa kufanya au kufanyiwa uhalifu. Idara yetu ya polisi ya upelelezi ndiyo equivalent na Scotland yard au FBI. Idara yetu ya TISS ndiyo equivalent ya CIA huko Amerika. Hazihitaji court orders kutekeleza majukumu yake ya upelelezi.
 
Bwana Joseph Ludovick usifikiri kuwa JF ina watu wajinga unaoweza kuwahadaa kwa vihoja vyako....

Nimesoma na kuelewa vizuri sana andiko lako kuu. Hujanipiga chenga hata kidogo na kwa hiyo naweza kukuambia kwa uwazi na ujasiri kabisa kuwa;

1. Mantiki na maudhui ya andiko lako kuu lote ni kuhusu hoja za Tundu Lissu ktk Press Conference yake ya jana (alhamisi) kuhusu "wasiojulikana" waliojaribu kumuua mwaka 2017, kampuni ya mawasiliano ya Millicon/Honora/TIGO na serikali ya Tanzania....

2. Hata sasa na majibu yako haya, bado unajaribu kutetea hicho hicho ulichokianzisha ktk uzi wako mkuu na cha ajabu bado huna hoja yoyote ile....

3. Nasisitiza tena kuwa, hakuna anayekataa kuwa vyombo vya uchunguzi wa makosa ya kijinai (criminal investigation instruments) vinaweza kupata access ya mawasiliano ya ki - electronics kama simu, computer nk ya mtu wanayemchunguza kwa makosa ya kijinai. Lakini kumbuka, si kwa njia za kienyeji bali kwa kufuata sheria inavyoelekeza....!!

4. Kwa kesi ya vitisho vya kigaidi, utaratibu ni uleule, kuwa vyombo hivyo vya uchunguzi iwe ni police, TISS nk ni lazima wapate "court order" ikiwataja watu hao inaowashuku ni hatari kwa usalama ni kina nani kwa majina yao, wako wapi, hujishughulisha na nini nk. Hii ni muhimu kwa sababu;

å Kuzuia watu kuonewa kwa visingizio vya "usalama" au "ugaidi" kama ilivyotokea kwa Tundu Lissu mwaka 2017...

å Kuzilinda kampuni za mawasiliano kisheria ambazo zitalazimika kuvunja sheria ya kulinda Siri za wateja wao kwa kuvipa vyombo hivi siri za wateja wao. Laiti Millicon/Honora/TIGO wangekataa kutumiwa na serikali kijinga hivi nje ya utaratibu wa kisheria, wangejiepusha na saga hili ambalo linaweza kuwagharimu pakubwa...

5. Tundu Lissu alijibu swali kuhusu hoja yako kwa ufasaha kabisa unless uwe hukumsikiliza na kumwelewa. Alisema mtu yeyote ikiwemo serikali haina mamlaka ya kuingilia privacy za watu pasipo kufuata sheria. Sasa kama wewe hukumwelewa, hiyo ni shida yako....

MWISHO:

## Nikuulize swali Moja tu halafu lijibu kwa ukweli wa nafsi yako, kwamba, kama kweli Tundu Lissu alikuwa ni hatari kwa usalama wa taifa/nchi yetu, kulikuwa na sababu gani ya kutumia njia hiyo ya kijinga, kipuuzi na kienyeji (barbaric) kushughulika naye badala ya utaratibu wa kisheria? Unaona sasa shida ambayo kampuni ya Millicon/Honora/TIGO imeongizwa na serikali yako?

##Nikusaidie tu wakati unafikiria kunijibu. Magufuli na serikali yake walitumia njia ya kienyeji, kinyume cha sheria kwa kuwa sababu wanazozitoa hazipo, ni uongo tu Bali sababu kuu ni kwa kuwa Tundu Lissu alikuwa mkosoaji jasiri wa Magufuli, sera za serikali yake na CCM kwa ujumla. Huyu kwa CCM na Magufuli (na ndivyo ilivyo kwa Samia leo) alikuwa ni kikwazo cha mambo yao na hivyo wakaamua kum - label kama "adui wa Taifa" huku ukweli ukiwa ni adui yao wao binafsi na hivyo kutumia mamlaka yao vibaya (abuse of powers) kumuua kwa njia hiyo ya kijinga na kipumbavu waliyoamua kutumia. Hayo yanaitwa "mauaji ya kisiasa na tendo la kigaidi" lililofanywa na dola kwa tafsiri ya neno "ugaidi" au "terrorism"

Kwa heri, usiku mwema...
 
Acha kuandika upumbavu kwa vitu usivyo vijua wewe fala , nani kakwambia CIA wanadeal na issues za ndani ya Marekani wewe zoba ?
Unajua kazi ya CIA wewe
Unajua criminal investigation procedures za FBI na Scotland yard wewe mjinga ? .au unadhani wao wanafanya mambo kishenzi tu kama mahayawani wa humu hao vibaka wa polisi na TISS
Acha useng£
Mahakama haipo kama picha mahakama ipo kutoa legal orders Kwa ajili ya criminals investigations hasa hizo zinazohusu udukuzi wa taarifa za mawasiliano na kuingilia privacy ya mtu
Muwe mnafuatilia mambo ninyi wapumbavu
Sio kukimbilia tu kujudge kwamba flani ni gaidi ni nani ambaye aliauthorize taarifa za kimtandao za Mbowe zitumike kwenye indictment ya kihuni ya kesi feki ya ugaidi dhidi yake ? .
Ni ugaidi gani Mbowe aliwahi fanya ?
Na too bad hata ushahidi wenyewe ni wa uongo na fabrication za kipuuzi kabisa .

Ni jana tu hapa kuna mtu kauawa na polisi huko Arusha ,hao vibaka wakiwa wamevalia nguo za kiraia na hawana warranty ya mahakama na wala hamna vitambulisho wala hata mwenyekiti wa mtaa hakuhusishwa ,wamempiga mpaka kumuua yule jamaa pale pale kwake kwa kumkanyaga kichwani halafu wakatokomea na kumuacha kafungwa pingu ,wanapigiwa simu baadaye wanakuja na funguo halafu wanatoa press conference kwamba marehemu alianguka kwenye pikipiki wakati anapelekwa polisi , hivi ninyi wapumbavu hamkai hata kwa sekunde na kutafakari haya mambo ya kihayawani yanayoendelea humu nchini ?
Ninyi mnajiona mpo salama si ndio ?
 
Kama wewe ni mwanasheria basi nakuhurumia sana. Ila kama ni mtu mwenye taaluma nyingine ambaye amejitahidi ''kupekuwa-pekuwa'' ili kuandika kuanzisha thread, basi ushuri wangu ni kuwaachia wanasheria mambo usiyoyajua.
 
Unanisikitisha kwamba hauko honest kwenye mjadala. Haya unayojitungia hayapo kwenye hija yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…