Siku napanda hizo ndinga ndio siku watabadili hizo tundu za choo,nahakikisha nashusha kimba hapa na kigoma kisha najikataa.Halafu nakaa niinjoi reaction za wadau watakaofuatia.
Kuna basi nlipanda hayo ya Luxury ushenzi mtupu
Siti tulizokaa zilikua karbu na choo tumenukishwa njia nzima
Plus nlikaa na pisi kali nikawaza nikinunua juice ninunue mbili
NIKAONA NISILE NJIA NZIMA NJAA NJAA HARUFU PWIAAAYuck🤮