Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,047
- 1,465
Ooh my God sirudii tena kuchuchumaa juu ya hizi choo ndo mchezo wangu nikivikuta huwa sikai..ila hizi vyoo za siku hizi ni.mchina fake ni rahis kuvunjika me nakumbuka nimechuchumaa kwa hizi vyoo for four years at home...aiseee sio salama
Dah mkuu unaonekana wewe ni wa kishua,wenzio wamechuchumaa vyuoni na maofisini wanapotumia vyoo hivi,wewe unachuchumaa home? Home inatakiwa na vile vya kuchuchumaa viwepo siunajua familia zetu unakuta anakuja mtu kutoka kijijini anapata shida.
Vipo vyoo vya kichina vizuri first class sio vyote vibaya.