grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.
Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
Hivi ulisema huwa unatumia vyoo vya kukaa tu sehemu zote ulikopita?Sijawahi kwenda haja kubwa stendi au hospitali. Kwa matibabu huwa najibebea 'choo'. Hata hivyo, vyoo vya hayo maeneo kote nilikopita naonaga vya kuchuchumaa tu!!
