Ooh my God sirudii tena kuchuchumaa juu ya hizi choo ndo mchezo wangu nikivikuta huwa sikai..ila hizi vyoo za siku hizi ni.mchina fake ni rahis kuvunjika me nakumbuka nimechuchumaa kwa hizi vyoo for four years at home...aiseee sio salama
Dah mkuu unaonekana wewe ni wa kishua,wenzio wamechuchumaa vyuoni na maofisini wanapotumia vyoo hivi,wewe unachuchumaa home? Home inatakiwa na vile vya kuchuchumaa viwepo siunajua familia zetu unakuta anakuja mtu kutoka kijijini anapata shida.
Vipo vyoo vya kichina vizuri first class sio vyote vibaya.
Haha enzi hizo mwana wane tulikua tunaishi flats za bank sasa chumbani kwa mdingi hicho na kwetu ni hicho...mimi na bro wangu tukiwa primary tulikua tunaona kinyaa so kila mtu alikua anapanda ila ilikua siri yake ila siku moja tukaambiana ukweli..tulihama nikiwa darasa la nne mdingi akaweka home cha kuchuchumaa....freesh kimbembe makazini
Kumbe wewe ndo unatumalizia toilet paper zetu!!mbaya zaidi uvikute mahotelini. Huwa nalazimika kuzungushia toilet paper hapo kwa juu kote!
mbaya zaidi uvikute mahotelini. Huwa nalazimika kuzungushia toilet paper hapo kwa juu kote!
kibembe kinakuja wakat untka kujisafisha baada ya kukata gogo huwa ni kero sna kwa iv vyoo vya kukaa
Mm nilishazoea choo cha kukaa, cha kuchuchumaa haja kubwa huwa haitoki yote! Kwangu mm choo cha kuchuchumaa ni hatari sana hasa mtu km anaumwa na hana nguvu za kuchuchumaa...ukishazoea kukaa hakuna mavi ambayo huwa yanabaki!
Mimi nikienda chooni,nikute choo cha kukaa hua napanda juu na viatu vyangu,nakata gogo kiroho safi!!
Kuna siku nilikua ofisini,nikaenda kata gogo,nilikuta damu juu ya choo,walahi niliapa acha wanifukuze kazi,but nikitaka kukata gogo napanda juu ya choo,popote hata home!!
Katka safari zangu niliwahi kuta rangi ya njano nisiyoielewa kuzunguka choo cha hotel fulani mjini Mwanza.Mimi nikienda chooni,nikute choo cha kukaa hua napanda juu na viatu vyangu,nakata gogo kiroho safi!!
Kuna siku nilikua ofisini,nikaenda kata gogo,nilikuta damu juu ya choo,walahi niliapa acha wanifukuze kazi,but nikitaka kukata gogo napanda juu ya choo,popote hata home!!
Mkuu, cheki bandiko #19 na 20.
Katka safari zangu niliwahi kuta rangi ya njano nisiyoielewa kuzunguka choo cha hotel fulani mjini Mwanza.
Niliapa sintoweka makalio yangu hapo labda chumbani kwangu tu.
Labda choo kilikua kibovu tu, hyo ni ajari kama ajari nyingine tu!!!
Walahi nilishaapa kamwe sitaweka makalio yangu kwenye hivi vyoo!!