Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.
Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
Hivi ulisema huwa unatumia vyoo vya kukaa tu sehemu zote ulikopita?Sijawahi kwenda haja kubwa stendi au hospitali. Kwa matibabu huwa najibebea 'choo'. Hata hivyo, vyoo vya hayo maeneo kote nilikopita naonaga vya kuchuchumaa tu!!
Kwani kuna tofauti ya uzito wa mtu kati ya kukaa na kuchuchumaa juu ya hilo bakuli?Hii ni hatari mno kuchuchumaa juu yake!Upo ushahidi wa kukatika hayo ma sink ya choo na huwa yanakata kuliko upanga.Kuna picha za wadada fulani wa kizungu wamekatwa karibu kalio lote hadi hips vinaning'inia!ni ajali mbaya ukiona hutarudia huo mchezo wa kuchuchumaa juu ya hicho choo
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hivi ulisema huwa unatumia vyoo vya kukaa tu sehemu zote ulikopita?
Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.
Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
Mkuu umewahi kutumia vyoo vya kukaa vya hospitali au stendi?
Sijawahi kwenda haja kubwa stendi au hospitali. Kwa matibabu huwa najibebea 'choo'. Hata hivyo, vyoo vya hayo maeneo kote nilikopita naonaga vya kuchuchumaa tu!!
Hivi ulisema huwa unatumia vyoo vya kukaa tu sehemu zote ulikopita?
Soma upya nyuzi zako halafu jipime kama uko sahihi...Sahihi.....
Huko hosp na stendi 'naonaga'
endelea tupate miti ya matunda ya kutosha.Hakuna raha kama kunya porini!Ukimaliza unafukia,unasepa!
Soma upya nyuzi zako halafu jipime kama uko sahihi...
Halafu unakuta wamekuwekea kopo la kuchambia, huwa najiuliza hayo maji unayatumiaje?
Ndiyo mkuu! Ukikaa, uzito kiasi unakuwa supported na miguu iliyokanyaga chini, na pia ukikaa mpododo wote una cover sehemu kubwa ya sink hivyo kupunguza pressure against that sink! "The smaller the area the higher the pressure"Kwani kuna tofauti ya uzito wa mtu kati ya kukaa na kuchuchumaa juu ya hilo bakuli?
Daah hii kali.Mimi nikiingia maliwatoni nikutane na choo cha namna hii nya yote inakata hadi mkojo. Watumie tu wenye mioyo ya chuma.