Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi
Hatimaye vyoo hivyo vilivyofungwa kwa muda baada ya hapo, vimefanyiwa usafi na sasa vinatumika kama vinavyoonekana kwenye clip na picha hapa chini: