Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 5,352 Reaction score 15,876 Jun 1, 2026 #1 Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi Hatimaye vyoo hivyo vilivyofungwa kwa muda baada ya hapo, vimefanyiwa usafi na sasa vinatumika kama vinavyoonekana kwenye clip na picha hapa chini: Your browser is not able to display this video.
Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi Hatimaye vyoo hivyo vilivyofungwa kwa muda baada ya hapo, vimefanyiwa usafi na sasa vinatumika kama vinavyoonekana kwenye clip na picha hapa chini: Your browser is not able to display this video.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,721 Reaction score 98,896 Jun 1, 2026 #2 Mbona kama havina mlango?
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 6,410 Reaction score 13,052 Jun 1, 2026 #3 Hapo ni kukojoa tu hakuna kukata gogoo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 7, 2026 #4 Mpaka wasemwe publi... Cc: Mahondaw
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 9,024 Reaction score 18,683 Jun 27, 2026 #5 Ahh miembeni nimekumbuka mbali,kwa pembeni kuna mgundi wa bajaji hapo😁