Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

 Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

Mliogwa

Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
37
Reaction score
37
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa.

Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali.

Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi ufanywe mara kwa mara iwe desturi kusafisha eneo hilo muhimu kwa binadamu.

Soma Pia: Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

IMG-20241206-WA0001.jpg
IMG-20241206-WA0003.jpg
IMG-20241206-WA0006.jpg
IMG-20241206-WA0007.jpg
 

Attachments

  • IMG-20241206-WA0008.jpg
    IMG-20241206-WA0008.jpg
    26.9 KB · Views: 8
Hebu fuatilia na uzembe mwingine, naona habari zako zinafanyiwa kazi. Nikuulize swali, hapo nyuma kuna stendi ya mabasi ya vijijini maarufu kwa jina la stendi ya vumbi, je ina choo, vyoo vyake ni safai? Fuatilia na huko
 
Awa mabwana afya na mabibi afya wako wapi wakipita mtaani wana tupiga faini elf 50 choo kichafu kumbe uko juu awafiki
 
Back
Top Bottom