Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa.
Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali.
Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi ufanywe mara kwa mara iwe desturi kusafisha eneo hilo muhimu kwa binadamu.
Soma Pia: Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?