wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,065
Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa.
Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko lako humu kumsema mke wako tambua kama umeshindwa kumbadilisha lawama zinakwenda kwako sio yeye chanzo ni wewe.
A word is enough for wise
Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko lako humu kumsema mke wako tambua kama umeshindwa kumbadilisha lawama zinakwenda kwako sio yeye chanzo ni wewe.
A word is enough for wise