Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

hakuna mwanamke kichwa gumu code zote hizo utakuwa umeshafungua edeni yake tayar utakula kila aina ya matunda
...Tusidanganyane wanawake wengine ni vichwa ngumu hata umfundishe aje haelewi zaidi ya utemi wewe kama umebahatika shukuru Mungu.
 
Unajipa kazi za wazazi walio shindwa tokea akiwa mbichi, uje kuweza ww kumkunja akiwa mkavu.
 
Back
Top Bottom