Ukifuata ushauri wa mtoa maada unaweza kuchanganyikiwa, mtu anaakili timamu eti umfundishe blah blah , kila mmoja ajipambanie ndio maana wanadai haki SawaWanaume tunabeba mambo mengi ndo maana tunakufa mapema
Mke wa mzee jomo Kenyatta yupo, mke wa Nyerere yupo, mke wa Karume sr yupo, mke wa magufuli yupo, mke wa mkapa yupo, mke wa mwinyi yupo, mke wa kijazi yupo, jiulize kwa nini wanaishi muda mrefu ? Ushauri mwanaume usijipe stress na mwanamke wewe ishi kawaida hawana kanunijust try jaribu utaona mambo makubwa sana
wasumu una mke?kufa mapema ni tatizo kila mmojawetu tukirudi kwenye mstari kamwe hatutakufa mapema tuishi kwa upendo
hatari kuishi kawaida mwombe Mungu usambaze upendo basi utaish maisha marefu wanawake ndio edeni zetuMke wa mzee jomo Kenyatta yupo, mke wa Nyerere yupo, mke wa Karume sr yupo, mke wa magufuli yupo, mke wa mkapa yupo, mke wa mwinyi yupo, mke wa kijazi yupo, jiulize kwa nini wanaishi muda mrefu ? Ushauri mwanaume usijipe stress na mwanamke wewe ishi kawaida hawana kanuni
Hana mke amesema hayo kayasoma kwenye vitabuwasumu una mke?
Kumbe ndio maaanaHana mke amesema hayo kayasoma kwenye vitabu
...Tusidanganyane wanawake wengine ni vichwa ngumu hata umfundishe aje haelewi zaidi ya utemi wewe kama umebahatika shukuru Mungu.Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa.
Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko lako humu kumsema mke wako tambua kama umeshindwa kumbadilisha lawama zinakwenda kwako sio yeye chanzo ni wewe.
A word is enough for wise
Jibu lakeswali zuri
Hajawaelewa ndugu zetu katika Imani, ukiambiwa wametoka kwenye ubavu wako inamaana nenda nao hivohivo ubavu haunyooshwi ukijifanya kuunyosha lazima uvunjike na kuacha majangaKumbe ndio maaana