Vyovyote wafanyavyo, hata kama nia ni kumchafua, bado yeye ndiye turufu zaidi ndani ya chama chake hata kwa wapinzani

Unamtetea kwa sababu ni muislam mwenzako. Uchafu wake hata wa Magufuli una nafuu....
 
Si ndiyo kumchafua kwenyewe huko tunakosema??
Wanaotaka au tuseme wanaomchafua ni wenzie kutoka Chamani kwao ( ?! )
Umesita ku - elaborate clearly 😀
Lakini ndivyo unavyoamini na mimi hivyo ndivyo ninavyoamini 🙌👍
 
sio mtu mzima tu Binti wa kibantu bali pia ni mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa ambae sielezei maoni yangu juu ya masuala ya kisiasa humu jukwaani eti kutegemea hisia au huruma, ni facts tu kwendra mbereee 🐒
Why umechagua kuwa chawa? Kwa mtu mzima, makini anayejielewa hawezi kuwa ccm, wala kushabikia haya yanayoendelea.
Uwe na akili timamu, umsifie kiongozi anayesema viongozi, kuleni usawa wa kamba yenu.

Uwe na akili timamu, umshabikie mtu anayesema ni drama. Huku watu wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, wanatekwa, wanauwawa. Ni kichaa pekee atacheka na kufurahia. Mwenye akili hawezi kucheza na maisha ya watu. Nyinyi madishi yameyumba, mjitafakari sana.
 
Asante sana MKUU...
 
Hatufurahii vifo,kutekwa wala uvunjifu wa amani kwa namna yyte ile.

Tuna uhakika hata Rais Samia hafurahishwi na hayo pia,kusimamia unachokiamini siyo uchawa.
 
Unataka kusemaje.
..."kapandisha mishahara ya watumishi na madaraja"...!
-Watumishi wa nchi gani waliopewa hiyo "pekeji"?
-Watumishi gani waliopandishwa madaraja/wangapi?Au daraja la Migwenhe kuelekea Chabutwa,Tabora?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋
 
why leo hujaporomosha mitusi mizito mizito kama kawaaida yako, eeh why? au bado muda wa mizimu kucharuka au bado hujanywa chai? eeh bint wa kibantu?

kwanini umechagua kua na mihemko na tena bila hoja ikiwa kweli wewe ni muerevu?

vyama vya siasa nchi nzima vimefanya chaguzi zao za ndani kwa salama na amani sana, ni muhimu wakapewa maua yao 🌹

why chama hiki kilipoanza tu uchaguzi wake wa ndani hizi singombimbo zankabokamchizi zikaanza? mara kiongozi gani sijui kafanya nini mara nani sijui yuko wap n.k? Why all these now?

na chama kinapoelekea uchaguzi wa pale ngazi ya Juu zaid, ndiyo hali ya singombingo hizi inakua mbaya zaid, why now?

hauoni kwamba kuna kila sababu uchunguzi ukaazia pale HQ ya chama ili walau kujiridhisha?

maana taarifa za mwanzo wa utekaji lakini pia kifo cha mateka zimetokea HQ ya chama kwa haraka sana tena kwa wakati muafaka mno?

Je,
ni kweli hawana taarifa za hapa katikati mateka alitendewa nini na watekaji?

wao walikua wamekaa engo gani ya kupata taarifa za utekaji na mauaji ya mateka tu,wasone ametendewa nini?🐒
 
Unamtetea kwa sababu ni muislam mwenzako. Uchafu wake hata wa Magufuli una nafuu....
Kwahiyo magufuli kumbe mlikuwa mnamtetea pamona na ukatili wake kwa kuwa ni Mkristo mwenzenu??
 
Acha hizi ngonjera za std 4. Jibu hoja, sijawahi tukana na ndiyo maana sijawahi pewa onyo wala kupigwa ban. Mkiambiwa ukweli, mnakimbilia mmetukanwa. Anyaway huna hoja acha niendelee na kazi zangu. Ukija na hoja nitakujibu baadaye.
 
Hilo linasukumwa na dini yake mkuu .Ni lipuuzi fulani linaloongozwa na hisia za kutetea chochote kwa misingi ya ni muislam mwenzetu.Achana nalo ni la kupuuza!
 
Baada ya mauji ya kijana mmoja uko mtwara ! Samia alisikika akiwambia wazi polisi kuwa awawezi jichunguza na maafisa wa polisi walio husika tuliona wanapandishwa kizimbani! Lakini baada ya hapo ni mwendo wa watu kupote na kutekwa na uzuri wanao washilikilia wanakuwa wanajitambulisha ni polisi na sasa huyu mzee wamemuaa kabisa na Samia hajachukua hatua yeyote kabisa na hali ya sasa ni mbaya zaidi…kwanini hachukui hatua? Nani ana msingizia ? Nani ana mchafua? Anamchafua kwa sababu gani? Kwa hiyo unataka kusema wazi hata Magufuli alikuwa ana chafuliwa?
 
Hilo linasukumwa na dini yake mkuu .Ni lipuuzi fulani linaloongozwa na hisia za kutetea chochote kwa misingi ya ni muislam mwenzetu.Achana nalo ni la kupuuza!
Darkness has covered your light and changed your day into night...
 
Rais hajatoa tamko Rasmi,isipokuwa kuagiza apelekewe taarifa juu ya tukio hilo...lets wait taarifa ifike kwake tusikie nini atazungumza.
 
Hatufurahii vifo,kutekwa wala uvunjifu wa amani kwa namna yyte ile.

Tuna uhakika hata Rais Samia hafurahishwi na hayo pia,kusimamia unachokiamini siyo uchawa.
Angekuwa hafurahishwa wote waliotajwa na SATIVA wangekuwa wamekamatwa.

Mkuu kwanini mnafanya haya? Mnapata nini?
Haumini tatizo la Mtanzania mwenzako ni lako pia au hadi likupate?

Ni kwa sababu ya Dini? Lakini ubaya hauna dini, tulipaza sauti kipindi cha Magufuli na Makonda. Unahisi tulifanya hivyo kwa kuwa hawakuwa wa dini yetu?
 
Acha hizi ngonjera za std 4. Jibu hoja, sijawahi tukana na ndiyo maana sijawahi pewa onyo wala kupigwa ban. Mkiambiwa ukweli, mnakimbilia mmetukanwa. Anyaway huna hoja acha niendelee na kazi zangu. Ukija na hoja nitakujibu baadaye.
sasa wewe wa Harvard university si ujieleze kiprofesa profesa binti wa kibantu? makasiriko ya nini sasa usbuhi hivi...

by the way,
umenifurahisha sana leo binti wa kibantu. kumbe ni binti mzuri kabisa alaaaa!

hoja ni moja tu mezani mtoa hoja kaeleza yote.

na kwa kifupi sana ni kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania wote hawezi kuchafuliwa wala kudhoofishwa na hila wanazofanyiana vyama vya siasa wao kwa wao kwasabb ya vyeo na madaraka, hususani chama kinachoendelea na uchaguzi wake wa ndani hivi sasa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…