Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani?

Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani?

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani? Kwanini huwa vinafuatiliwa?
 
Licha ya kuwa ni ghali mfupa ukipona vinatolewa na kuwekewa mtu mwingine, haviozi wala kupata kutu
 
Inategemea na type gani ya Implant (Chuma) umewekewa.

Kama ni implant iliotolewa kwa program za msaada mfano SIGN Nail program (Chuma kinachoingia NDANI kablsa ya mfupa) hiki kinabidi kirudishwe pindi kitapotolewa na ufuatiliaji ufanyike.

Kuna program nyengine za msaada kwenye implants za ajali ambazo kwenye baadhi hospitali za serikali haziwi billed kwa mgonjwa moja kwa moja - Kama External fixators (Antena zile zinazofungwa na kutokeza nje) hizi inapaswq zirudi ili zitumike kuwa saidia wengine.

Kiufupi: Kama umelipishwa kununua implant na operation - Sio mali ya hospitali, kama umelipia operation peke yake kwenye implant zinazofunguliwa baadae - mali ya hospitali
 
Sijui utaratibu ila kama umelipia na kupewa risiti ya EFD basi ni mali yako
 
I need to know if there's an effect Kama nimewekewa na najihisi Kupata some relief je nisipovitoa what will happen?
Wewe huwezi kujiona una ahueni ni mpaka pale utakapoenda kucheck.
Wao ndio watajua wavitoe au bado.
 
Back
Top Bottom