R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Jun 22, 2025 #1 Wakuu, Hapo vipi kwa wananchi, mnadhani hawatoi mitano tena kwa Mama? hali ndo hii sasa uko mtaani Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Hapo vipi kwa wananchi, mnadhani hawatoi mitano tena kwa Mama? hali ndo hii sasa uko mtaani Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,987 Reaction score 27,554 Jun 22, 2025 #2 inavutia kwa kweli
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Jun 22, 2025 #3 Wamewapa watu wa kawaida kabisa hii ni nzuri
JUAN MANUEL JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 8,556 Reaction score 18,428 Jun 22, 2025 #4 Karne 21,mwananchi, amefukarishwa mpaka kitu cha maana, kwake, ni baiskeli!
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,410 Reaction score 35,923 Jun 22, 2025 #5 We unapewa baiskeli ubane tako ,uku wao wana tanua kwenye V8
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 6,316 Reaction score 9,390 Jun 22, 2025 #6 UNAUMIZA TAKO LINAOTA SUGU WAO WANATANUA NA V8 KWELI WAJINJA WENGI SANA