HOMEX DESIGN
Member
- Apr 1, 2020
- 7
- 6
Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public.
Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master bedroom ipo. Ktk vyumba vinne, vitatu vina vyoo ndani na kimoja ndo hakina. So ukijumlisha na public toilet nyumba inakuwa na JUMLA ya vyoo vinne.Kukosrkana kwa master’s bedroom ni kuokoa pesa au ni masharti?
Kwa mtazomo wangu, hii nyumba inahitaji vyoo vitatu kwa uchache, master bedroom, family bathroom na choo cha wageni ambacho hakitakua mbali na sitting room.
Kukosrkana kwa master’s bedroom ni kuokoa pesa au ni masharti?
Kwa mtazomo wangu, hii nyumba inahitaji vyoo vitatu kwa uchache, master bedroom, family bathroom na choo cha wageni ambacho hakitakua mbali na sitting room.
You are immensely missed ma'am. Umekuwa adimu mno.Kukosrkana kwa master’s bedroom ni kuokoa pesa au ni masharti?
Kwa mtazomo wangu, hii nyumba inahitaji vyoo vitatu kwa uchache, master bedroom, family bathroom na choo cha wageni ambacho hakitakua mbali na sitting room.
Ooh ina maana ni en-suite tatu na master’s bedroom. Huko mbele maisha yakikushinda unaweza kuifanya bed and breakfast.Master bedroom ipo. Ktk vyumba vinne, vitatu vina vyoo ndani na kimoja ndo hakina. So ukijumlisha na public toilet nyumba inakuwa na JUMLA ya vyoo vinne.