Vyumba vinne

Vyumba vinne

HOMEX DESIGN

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
7
Reaction score
6
02.f bnglw.jpg

Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public.

Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
 
Kukosekana kwa master’s bedroom ni kuokoa pesa au ni masharti?
Kwa mtazomo wangu, hii nyumba inahitaji vyoo vitatu kwa uchache, master bedroom, family bathroom na choo cha wageni ambacho hakitakua mbali na sitting room.
 
Kukosrkana kwa master’s bedroom ni kuokoa pesa au ni masharti?

Master bedroom ipo. Ktk vyumba vinne, vitatu vina vyoo ndani na kimoja ndo hakina. So ukijumlisha na public toilet nyumba inakuwa na JUMLA ya vyoo vinne.

You are immensely missed ma'am. Umekuwa adimu mno.
 
Master bedroom ipo. Ktk vyumba vinne, vitatu vina vyoo ndani na kimoja ndo hakina. So ukijumlisha na public toilet nyumba inakuwa na JUMLA ya vyoo vinne.
Ooh ina maana ni en-suite tatu na master’s bedroom. Huko mbele maisha yakikushinda unaweza kuifanya bed and breakfast.
 
Back
Top Bottom