Dalali Alpha
Member
- Apr 20, 2021
- 89
- 60
Mazingira machafu ajabuChumba Choo ndani (Masta) na Sebule.
Maji ya dawasa/bomba, Umeme luku watatu.
Mahali: Mbezibeach Makonde
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Maelezo Zaidi: 0716442950
View attachment 1810693View attachment 1810694View attachment 1810695View attachment 1810696
Geto chafu hata ukimpeleka demu wako anatoka na fungus.Yaani Mkuu kuna picha umejaribu ku edit Ili kuficha uchafu na uchakavu. Very sad.
Hebu jamani jitahidini kuwapa watu huduma nzuri ilimpate kufurahia hela yenu. Tanzania ya sasa imebadilika watu wanataka value for their money. Waishi pazuri, wale pazuri na walale pazuri.
Afu ni Mbezi Beach. Loh.
Kiranga njoo uone
We mwenyewe utaishije huko? Unaweza kukaa huko mpaka ikawa hutizamiki sasa demu utampataje.Geto chafu hata ukimpeleka demu wako anatoka na fungus.
Unaleta mbwembwe humu, wakati wewe unaishi tandale kwa tumbo, uswahili gari haifiki [emoji57]Mazingira machafu ajabu
Watu hawafanani uwezo pimbi wewe, Unajifanya kujichetua hapa, wakati bibi yako analala kwenye kajumba cha Udongo uko kijijini kwenuYaani Mkuu kuna picha umejaribu ku edit Ili kuficha uchafu na uchakavu. Very sad.
Hebu jamani jitahidini kuwapa watu huduma nzuri ilimpate kufurahia hela yenu. Tanzania ya sasa imebadilika watu wanataka value for their money. Waishi pazuri, wale pazuri na walale pazuri.
Afu ni Mbezi Beach. Loh.
Kiranga njoo uone
Wewe mwenyewe unakaa tandale kwa tumbo, uswahili ajabuKAMA MBEZI BEACH PAKO HIVYO BORA NIENDELEE KUKAA ZANGU HUKU UYOLE-MBEYA.
Hakuna Mteja hapo, wateja wanapiga simu.Mi nashauri dalalali aache kuhamaki uwe mpole tu make hawa ndo wateja wenyewe.Usitegemee majibu unayoyataka wewe.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Unaharibu biashara ya mtu...Yaani Mkuu kuna picha umejaribu ku edit Ili kuficha uchafu na uchakavu. Very sad.
Hebu jamani jitahidini kuwapa watu huduma nzuri ilimpate kufurahia hela yenu. Tanzania ya sasa imebadilika watu wanataka value for their money. Waishi pazuri, wale pazuri na walale pazuri.
Afu ni Mbezi Beach. Loh.
Kiranga njoo uone
Endelea Kuishi buza, unafikili wote tukiishi mbezibeach buza ataishi nani?Mwaka jana niliishi Buza.
Chumba na sebule. Tiles, ceiling board ya gypsum, choo cha public ila kilikua kinapendeza muonekano. Maji ni ya chumvi ila umeme upo 24/ 7 bili ya umeme 5000 na maji haizidi 1500.
Kodi ilikua 60,000 kwa mwezi. Wenye nyumba wa Buza wanapokea hata kodi ya miezi miwili Mungu awabariki.
Anyway, kwa picha za mleta uzi nipo radhi kurudi kuishi Buza kuliko kokote alipopaweka hapo. I mean 100K kwa ajili ya choo ambacho ukigeuka umegusa ukuta? Or 150K kwa single room kisa jina Mbezi? It ain't fair kwa mfuko na uchumi wangu.
Ila ingetokea hivyo vyumba vipo karibu na chuo ungepata wapangaji sana.
Uyo anajifurahisha tu, mimi dalali kitambo sitegemei wateja kutoka jamiiforumUnaharibu biashara ya mtu...