Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Acha dharau we mzeeBibi yako Kijijini anaishi kwenye Nyumba ya nyasi huko kijijini kwenu, mvua ikinyesha analoa.. Nakushauri huu muda unaoupoteza hapa kucoment ujinga kwa fikra kwamba unaniharibia, ungeutumia kutafuta pesa ukaboresha maisha bibi yako huko kijijini.
Tuwekee picha ya home kwako
Isije kuwa una dalali nyumba za mbezi beach kumbe wewe mwenyewe unalaza mbavu zako mburahati kwa jongo[emoji1]