House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

Mahali: Mbezibeach - Mbuyuni
Kodi ya Mwezi: Tshs 300,000

Apartment ina Chumba Kimoja ca kulala ambacho ni Masta, Sebule na Jiko.

Ina: Fensi na geti, Maji ya bomba/dawasa 24hrs, Umeme Luku yake.

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG_20210607_164403.jpg
20210607163108_5.jpg
20210606112442_3.jpg
20210607163108_4.jpg
 
Mahali: Mbezibeach - Kwazena
Kodi ya Mwezi: Tshs 800,000

Apartment yenye fanicha ndani, ina Chumba Kimoja cha kulala ambacho ni Masta, Sebule, Jiko na Choo cha wageni

Ina: Fensi na geti, Maji ya bomba/dawasa 24hrs, Umeme Luku yake.

Gharama za Maji na Ulinzi, zimejumuhishwa kwenye Kodi

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG_20210527_174617_079.jpg
IMG_20210527_161719_929.jpg
IMG_20210527_161719_937.jpg
IMG_20210527_161719_942.jpg
 
Dalali sasa ume paniki, kama hutegemei wateja kutoka humu kwanini umeleta tangazo lako humu. Ki ukweli picha ulizoleta sio nzuri bora hata ungechagua, lazima ukubali kukosolewa Dalali Bingwa.
Nimeleta Kujifurahisha tu, ila akitokea mteja wa maana tunafanya kazi.
 
Chumba Singo, Choo Cha nje
Mahali: Mbezibeach Shule
Kodi ya Mwezi: Tshs 60,000 Kwa Mwezi

Maji ya bomba/dawasa, Umeme Luku watatu, Fensi na geti, Parkng ipo.

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG_20210517_111555.jpg
IMG_20210517_111812.jpg
 
Chumba Choo ndani na Sebule na jiko
Mahali: Mbezibeach Kwakomba
Kodi ya Mwezi: Tshs 180,000 Kwa Mwezi

Maji ya bomba/dawasa, Umeme Luku watatu, Fensi na geti, Parkng ipo.

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG0.jpg
IMG1.jpg
IMG3.jpg
IMG2.jpg
 
Watu hawafanani uwezo pimbi wewe, Unajifanya kujichetua hapa, wakati bibi yako analala kwenye kajumba cha Udongo uko kijijini kwenu
Hahahaaa. You wish Mkuu.

Dhana ya akina Bibi zetu kuishi vyenye vinyumba vya tope inatokana na wazazi wetu kuwatupa. Sorry but kwetu haiapply hata hivyo sababu My grandparents were educated people and did not live in abject poverty. Alhamdulillah.

Anyway you are just a middle man. Huingii gharama yeyote. Ongea na mteja wako mwenye nyumba mwambie ukweli kwamba maeneo yake yanahitaji renovation. Mna advantage ya location na wateja wapo you just need kuboresha mazingira. Ukweli unabaki kuwa nyumba zenu zitahitaji matengenezo.
 
Conscious mind, think before they speak. Just do some little research on real estate market in dar es salaam.
You are ignorant.
 
Hahahaaa. You wish Mkuu.

Dhana ya akina Bibi zetu kuishi vyenye vinyumba vya tope inatokana na wazazi wetu kuwatupa. Sorry but kwetu haiapply hata hivyo sababu My grandparents were educated people and did not live in abject poverty. Alhamdulillah.

Anyway you are just a middle man. Huingii gharama yeyote. Ongea na mteja wako mwenye nyumba mwambie ukweli kwamba maeneo yake yanahitaji renovation. Mna advantage ya location na wateja wapo you just need kuboresha mazingira. Ukweli unabaki kuwa nyumba zenu zitahitaji matengenezo.
Wewe kama hauna uelewe wa industry ya Realestate inavyoenda bora ukae kimya.
Wajanja wenye akili, kutokana post nilizoweka tayari wameshapata picha, Kwavile wewe ni Slow learner siburi Mwalimu aje akufundishe..
 
Huo mkoa kweli ni balaa yaani chumba kama hicho Ushirika wa neema Moshi unapata kwa 30K.
 
Hahahaaa. You wish Mkuu.

Dhana ya akina Bibi zetu kuishi vyenye vinyumba vya tope inatokana na wazazi wetu kuwatupa. Sorry but kwetu haiapply hata hivyo sababu My grandparents were educated people and did not live in abject poverty. Alhamdulillah.

Anyway you are just a middle man. Huingii gharama yeyote. Ongea na mteja wako mwenye nyumba mwambie ukweli kwamba maeneo yake yanahitaji renovation. Mna advantage ya location na wateja wapo you just need kuboresha mazingira. Ukweli unabaki kuwa nyumba zenu zitahitaji matengenezo.
Please Zuia hii Karucee

Kuna watu tunakuheshimu humu ndani punguza majibizano yasiyo na maana.

Ungeweza kumkosoa katika namna inayofaa kuliko hiki Unachofanya.

Leave him alone plz.
 
Ndio nasemaga siku zote madali wote wa mazao magari na viwanja na nyumba WALIPE KODI kido watakuwa seriously na majibu na kuacha kukwamisha biashara baina ya mteja na mwenye mali... embu ona shit anazotoa huyu dalali nonsense
 
Back
Top Bottom