Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Acha dharau we mzeeBibi yako Kijijini anaishi kwenye Nyumba ya nyasi huko kijijini kwenu, mvua ikinyesha analoa.. Nakushauri huu muda unaoupoteza hapa kucoment ujinga kwa fikra kwamba unaniharibia, ungeutumia kutafuta pesa ukaboresha maisha bibi yako huko kijijini.
Huyu Ni fala tu kaibukia kwenye kazi za watu.Ndio nasemaga siku zote madali wote wa mazao magari na viwanja na nyumba WALIPE KODI kido watakuwa seriously na majibu na kuacha kukwamisha biashara baina ya mteja na mwenye mali... embu ona shit anazotoa huyu dalali nonsense
Sikutegemea kuona nyumba inayofanana hivyo ikiwa mbezi beachKAMA MBEZI BEACH PAKO HIVYO BORA NIENDELEE KUKAA ZANGU HUKU UYOLE-MBEYA.
Kakimbia uzi wake dalali mchafu kuanzia kinywani, mwili hata nyumba anazopost [emoji2][emoji16]Sikutegemea kuona nyumba inayofanana hivyo ikiwa mbezi beach
Hawa soon biashara yao itaanza kuingia kitumbua kama madereva Tax uber ilivyowaliza kila mmoja akawa yupo free kusafirisha abiria uzur Technology haijawahi kumwacha mtu salama kama usipotaka kwenda nayo.Ndio nasemaga siku zote madali wote wa mazao magari na viwanja na nyumba WALIPE KODI kido watakuwa seriously na majibu na kuacha kukwamisha biashara baina ya mteja na mwenye mali... embu ona shit anazotoa huyu dalali nonsense

At least hiii ipo vema. Ila bei umeizidishia ndugu dalali.Mahali: Mbezibeach - Mbuyuni
Kodi ya Mwezi: Tshs 300,000
Apartment ina Chumba Kimoja ca kulala ambacho ni Masta, Sebule na Jiko.
Ina: Fensi na geti, Maji ya bomba/dawasa 24hrs, Umeme Luku yake.
Maelezo Zaidi: 0716442950View attachment 1812070View attachment 1812072View attachment 1812073View attachment 1812074