Vyuo bora tanzania upande wa elimu

Vyuo bora tanzania upande wa elimu

nyie watoto wa mwaka wa kwanza mmeshatuchosha sasa! khaaaah
 
Kwa upande wa elimu maalmu udom si wazuri ki hivyo labda SEKOM, KWA upande wa ualimu kwa ujumla UDOM is good u just go to Udom or UDSM,DUCE or MUCE.
 
Kwa upande wa elimu maalmu udom si wazuri ki hivyo labda SEKOM, KWA upande wa ualimu kwa ujumla UDOM is good u just go to Udom or UDSM,DUCE or MUCE.

SEKOMU hamna kitu tatizo wanachukua vilaza sana na hii inaathiri sanaa ufundishaji
 
sifa za kuingia chuo kikuu ni principal pass 2 au equvalent si sijui unataka kusema kuwa tanzania hakuna tume inayohusika na usimamizi wa elimu ya juu wewew ndo kilaza mkuu upo Arusha university nn
 
Sawa mkuu ni pass 2, hembu pata 2E, harafu omba Udsm kama watakuchagua. Kuna vyuo vinabeba left overs baada ya vyuo vya maana kuwa vimedahili. Hata Form 5 serikali huwa wanachagua the best students na kuwaachia private schools watu wa ajabu ajabu!
 
kwa dunia ya sasa tumeshahama kutoka out put to outcome.Hivyo kuna watu kutwa kujadili vyuo na kusahau unaweza kuwa na cheti kizuri sana yaani output.ukawa na bad future.chamsingi tujadili output wa chuo gani wamesababisha outcome mbaya kwa maisha ya mtanzania. Na tufanye nini kuondokana na tatizo hili. Maisha ya mtz wa kijijini si mazuri kama wewe unayetumia kodi yake kwenye hilo boom.lets change our mindset.
 
mmezingatia nn kusema chuo fulani ni bora? Mbona tukikutana field wanabolonga sn, watu hawajiamini, hawana contents. Sasa ubora wao upo wapi? Tatizo first year mkifika chuo mnajifanya mnafuatilia mambo! Tumewachoka.
 
sifa za kuingia chuo kikuu ni principal pass 2 au equvalent si sijui unataka kusema kuwa tanzania hakuna tume inayohusika na usimamizi wa elimu ya juu wewew ndo kilaza mkuu upo Arusha university nn

Ujinga na uelewa wako mdogo ndo unakusumbua, kat ya shule za private na gvmnt shule zp hitia vilaza?????,Swala la kua na div 1 or 3 ya 17 haimanish wa alopata one ndo anaweza kua mwl bora, cha msingi n jinsi ya kupresente material.F**CK U
 
Sawa mkuu ni pass 2, hembu pata 2E, harafu omba Udsm kama watakuchagua. Kuna vyuo vinabeba left overs baada ya vyuo vya maana kuwa vimedahili. Hata Form 5 serikali huwa wanachagua the best students na kuwaachia private schools watu wa ajabu ajabu!

private schools huwa hawaendi kwenye selection acha UONGO
 
naona kuna watu wanachanganya . sijui chuo bora kwa majengo au kitaaluma. kwa sababu kama ni kitaaluma kuna vyuo vingi vya binafsi vinavyotoa elimu bora mfano SAUT mwanza
 
naona kuna watu wanachanganya . sijui chuo bora kwa majengo au kitaaluma. kwa sababu kama ni kitaaluma kuna vyuo vingi vya binafsi vinavyotoa elimu bora mfano SAUT mwanza

vyuo bora kwa vigezio vipi maana kwa mujibu wa mitandao vyuo vikuu boraTanzania ni
1.UDSM 2.SUA 3.MUHAS 4.H.KAIRUKI
sasa sekomu,saut wanaingia wapi?
 
Hapa mpaka waliofeli juz form 4 watapiga kelele tu...... kwa sababu humu jf hatuaniki cv za watu......
 
Back
Top Bottom