ELIMU MAALUMU:SHAHADA
1.SEKOMU(LUSHOTO, TANGA)
2.UDOMU(DODOMA).
ELIMU KWA UJUMLA
1.UDSM
2.SAUT
SOURCE:www.weekly.elimubongo.tz
1.SEKOMU(LUSHOTO, TANGA)
2.UDOMU(DODOMA).
ELIMU KWA UJUMLA
1.UDSM
2.SAUT
SOURCE:www.weekly.elimubongo.tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SEKOMU chuo bora? hahah uongo mtupu chuo chenyewe kinachukua iii.16/17 kitazalisha nini sasa kama sio kuharibu elimu !ELIMU MAALUMU:SHAHADA
1.SEKOMU(LUSHOTO, TANGA)
2.UDOMU(DODOMA).
ELIMU KWA UJUMLA
1.UDSM
2.SAUT
SOURCE:www.weekly.elimubongo.tz
ELIMU MAALUMU:SHAHADA
1.SEKOMU(LUSHOTO, TANGA)
2.UDOMU(DODOMA).
ELIMU KWA UJUMLA
1.UDSM
2.SAUT
SOURCE:www.weekly.elimubongo.tz
Kwa upande wa elimu maalmu udom si wazuri ki hivyo labda SEKOM, KWA upande wa ualimu kwa ujumla UDOM is good u just go to Udom or UDSM,DUCE or MUCE.
sifa za kuingia chuo kikuu ni principal pass 2 au equvalent si sijui unataka kusema kuwa tanzania hakuna tume inayohusika na usimamizi wa elimu ya juu wewew ndo kilaza mkuu upo Arusha university nn
Sawa mkuu ni pass 2, hembu pata 2E, harafu omba Udsm kama watakuchagua. Kuna vyuo vinabeba left overs baada ya vyuo vya maana kuwa vimedahili. Hata Form 5 serikali huwa wanachagua the best students na kuwaachia private schools watu wa ajabu ajabu!
naona kuna watu wanachanganya . sijui chuo bora kwa majengo au kitaaluma. kwa sababu kama ni kitaaluma kuna vyuo vingi vya binafsi vinavyotoa elimu bora mfano SAUT mwanza