Vyuo gani vinatoa masomo ya jioni ya Computer Course degree

tztz

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
274
Reaction score
253
Habari wakuu Kuna mtu anataka kusoma bachelor za computer either IT, computer science evening class hvyo anauliza vyuo gani vinatoa Evening class upande wa hizo degree.

Pia kwa upande wa degree ya CIVIL eng au diploma yake kwa evening class pia

Asanteni sana
 
Chukua prospecta ya UDOM na IDSM open university wana computer science kitambo na progtam yao ni nzuri nilitaka kujiunga nikachaguliwa on campus. Umri ungekuwa unaniruhusu ningeisoma hio kozi open. Akikosa hivyo vyuo viwili mwambie apige open, wanaratiba ya on campus kwa ajili ya practical na long distance theory. Usihofu kuhusu lecture, siku hizi kuna zoom. Lakini kuna College wamerikodi lecture zao na kuziweka online mfano MIT, Harvard, nk. Unachukua course outline uachukua DESA, unachukua video za lecture, unaunga na mtandaoni unakuwa nondo. Nakumbuka chuoni sikuwa naelewa quantum physic na advanced mechanics nilizama you tube niliibuka na madini ya kutosha. Kwa hio tafuta chuo chochote hata cha nje, dunia ya leo 2024 kuna fursa ya AI huna haja ya kutegemea chuo tu, material yapo kila kona, wataalamu wa IT wapo kila kona hadi wilayani ni wewe kuwatafuta wakusaidie.
Ukitaka inf zaidi ni PM. Im ptoffessional teacher i do provide guidance in teaching and learning particularly science subject|course .
 
Shukrani sana mkuu nalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom