Chukua prospecta ya UDOM na IDSM open university wana computer science kitambo na progtam yao ni nzuri nilitaka kujiunga nikachaguliwa on campus. Umri ungekuwa unaniruhusu ningeisoma hio kozi open. Akikosa hivyo vyuo viwili mwambie apige open, wanaratiba ya on campus kwa ajili ya practical na long distance theory. Usihofu kuhusu lecture, siku hizi kuna zoom. Lakini kuna College wamerikodi lecture zao na kuziweka online mfano MIT, Harvard, nk. Unachukua course outline uachukua DESA, unachukua video za lecture, unaunga na mtandaoni unakuwa nondo. Nakumbuka chuoni sikuwa naelewa quantum physic na advanced mechanics nilizama you tube niliibuka na madini ya kutosha. Kwa hio tafuta chuo chochote hata cha nje, dunia ya leo 2024 kuna fursa ya AI huna haja ya kutegemea chuo tu, material yapo kila kona, wataalamu wa IT wapo kila kona hadi wilayani ni wewe kuwatafuta wakusaidie.
Ukitaka inf zaidi ni PM. Im ptoffessional teacher i do provide guidance in teaching and learning particularly science subject|course .