Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

Kaka naongea hivyo kutokana na experience.Hadi kazi za UN siku hizi ni technical know-WHO.I don't mean to support it but that's the reeality

Nipo sure kuwa hata huko UN utachukuliwa na utabaki kusugua dawati tu. Ikija new management unapwaya hasa akaja Mzungu lazima utaona rangi zoote. Kama upo fit Jaribu INC coy PWC,KPMG EY ETC sio halmashauri.
 
Nipo sure kuwa hata huko UN utachukuliwa na utabaki kusugua dawati tu. Ikija new management unapwaya hasa akaja Mzungu lazima utaona rangi zoote. Kama upo fit Jaribu INC coy PWC,KPMG EY ETC sio halmashauri.

What's so special in these firms? Are all folks working there geniuses? Nazungumzia mtu mwenye uwezo wa kawaida tu(which are majority) lakini akapewa kazi kwa mtindo wa kujuana(siyo kilaza beyond description).Usichanganye mambo.Corruption,Nepotism and cronyism are rampant nowadays in Tz when it comes to employment whether you like it or not.
 
Priority
SUA Pass mark 50
UDSM Pass mark 40
MUHAS Pass mark 50
ARDHI
MUCCOBS
MU
UDOM
SAUT

Endelezeni list
 
Wanaosoma udsm wasijidanganye,ktk interview 2likuwa na wahitimu wa udsm bt walikuwa vilaza ajabu! so kwa sasa wanaangalia competence ya mtu na sio chuo
 
Wanaosoma udsm wasijidanganye,ktk interview 2likuwa na wahitimu wa udsm bt walikuwa vilaza ajabu! so kwa sasa wanaangalia competence ya mtu na sio chuo
<br />
<br />
ebu acha kukashifu wasomi.
 
vyuo vikuu nchi nzima havizidi vitatu..vilivyobaki vyote ni vya mchangani....

1. UDSM (baba lao)
2. SUA
3. Muhimbil

Kama hujasoma hivyo vyuo basi wewe hujasoma ila umechukua cheti
 
Wanaosoma udsm wasijidanganye,ktk interview 2likuwa na wahitimu wa udsm bt walikuwa vilaza ajabu! so kwa sasa wanaangalia competence ya mtu na sio chuo

Kaka usipotoshe umma wewe huwezi jilinganisha na UDSM wewe au ulipewa maswali kabla nini?
 
Priority
SUA Pass mark 50
UDSM Pass mark 40
MUHAS Pass mark 50
ARDHI
MUCCOBS
MU
UDOM
SAUT

Endelezeni list

Andika na vigezo vya kuingilia maana najuwa wengi waliokuwa wakifanya vibaya form six waliishia SUA na UDOM
 
vyuo vikuu nchi nzima havizidi vitatu..vilivyobaki vyote ni vya mchangani....

Mmh,I highly doubt na uwezo wako wa kufikiria.Tanzania tuna vyuo vitatu tu?Acha mambo ya kizamani,nenda kwa Pro. Mayunga Nkunya atakupa idadi sahihi ya vyuo.Nyie ndo wale mnaosave kwenye my document.Najua umesoma kati ya hivyo vyuo unavyofikiria ni bora kuliko vingine lkn naamini ndo ulikuwa unaongoza kwa kuingia na fantoshi.Hivyo vyuo unanyovisema hakuna hata library za maana.Wanafuzi wanaishia kusoma madesa ya wkt Tanganyika ina miaka 3 ya uhuru na ku-edit assignment za watu waliowatagulia.Someni vitabu na kusynthesize ideas so kujidudumba tu.Kibaya zaidi mkija maofisini mnashindwa kuzitumia concept mlizozisoma kwenye hivyo vyuo vyenu.Chuo hakijalishi,soma elewa na ukifika kwenye soko la ajira market your self.Onyesha kwamba una skills ambazo mwajiri anazihitaji.Hayo ni maneno ya watu walio na mlengo wa kushoto.

Tena bahati yako mimi CDM otherwise wewe ni mmoja wa watu wanaobeza maendeleo ambayo taifa imepata katika miaka 50 ya uhuru toka chuo 1 mpk vyuo vikuu 34!
 
Ukiwa mweupe kichwan akubadilishwi na aina ya chuo ulichosoma!off
 
Labda kabla cjakujibu niulize kidogo! if u whr an employer na watu wa 2 wameapply wenye sifa sawa unazo zitaka na mmoja amesoma chuo ulicho soma na mwingine chuo tofauti,je ungemchuka yupi kati yao? tafakari!

Ntaangalia jinsia(ke au me) na tabasamu
 
Majina ya vyuo yana nafasi ikiwa anayeajiri ni KILAZA. Na kwa kuwa vilaza ni wengi, tuna shida na hilo. Ngoja nikupe mifano miwili: Waajiri wengi wakitaka DEREVA wanasema awe na cheti cha VETA. Lkn kiukweli, hakuna madereva vilaza kama wa VETA. Hutalijua hili mpk usome VETA na sehemu nyingine halafu ulinganishe.

Mfano wa pili: Kama unataka kuajiriwa kama Programmer, DB Administrator n.k soma UCC. Si kwamba labda ndio kuna walimu na elimu nzuri, la hasha. Sbb ni kwamba cheti chao ndio kinauliziwa na waajiri. Ukirudi kwenye fani, ni vilaza. Shida inakuja kwamba, waajiri huwatumia wao kuwafanyia recruitment na wao huchukua fursa hiyo kuwapitisha watu wenye vyeti vya kwao ili chuo chao kionekane bora wkt si kweli. Kuna wahindi New Horizon, CATS na Learn IT wanafundisha VB na JAVA kama wana laana lkn vyeti vyao bado vinaonekana sio.

Mimi binafsi nina ujuzi na baadaye nimeenda kusomea VYETI
 
vinaweza kumatter katika baadhi ya post.kutokana na package za hiyo kozi katika chuo.labda wengine kama wanabagua kwa bias.
ndo maana transcript ina hitajika.majina ya kozi zinafanana lakini ki ukweli package za vyuo zintofautiana.sasa inategemea mwajiri anataka nini.ila jina tu labda kwa wababaishaji
 
Labda kabla cjakujibu niulize kidogo! if u whr an employer na watu wa 2 wameapply wenye sifa sawa unazo zitaka na mmoja amesoma chuo ulicho soma na mwingine chuo tofauti,je ungemchuka yupi kati yao? tafakari!
ni hivi waajiri wengi wanatoka kwenye vyuo hivi 3, tena mind set zao wanaamini "old is gold" so kwa swali lako lazima waliosoma vyuo vingine ile kwao..........labda uwe umepanda pipa coz watz wengi wanaamini ukiwa unajua yai basi akili unazo na kila aliesoma nje basi kaelewa darasani.............pole yetu kwani mm mwenyewe ni undergraduate wa global publisher....aka venue university
 
TUMAINI UNIVERSITY! Mbona mnaogopa kutaja jina hili??? Wao na disco hawajadili hata km upo last semester! Ogopa!!!
 
Elimu si cheti, ulichonacho Elimu ni jinsi gani unaweza kukalibiana na mazingila ulinayo nayo, unaweza kupata kazi kwa kuwa una GPA Kubwa lakini mwenye GPA ndogo akaachwa baada muda yule aliye achwa company inamchukua kwa garama kubwa kwasababu aliko kwenda kaonyesha uwezo mkubwa wa kuisaidia copy.
Kwahiyo lamsingi hapa nikwamba ukipewa nafasi add value to what you doing this make yourself to be more expensive.
Hiyo ndio inawasaidia wanafunzi wa udsm, maana si muda wote wanafikilia kusoma bali wanafikilia ni jinsi gani yakuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali kwa mfano mabadiliko yoyote katika bodi ya mikopo na mikopo yenyewe hufanywa na wanafunzi hawa, wanajitokeza katika midahalo mbalimbali na kutoa mawazo yao mfano malumbano ya hoja ITV, Wamekuwa wa kwanza kupinga mwaka wa kwanza kukosa mikopo wakati wanasifa, na pia hawakubaliani na mambo mengi ambayo Jk anayafanya, na swala la mseveni kuzofisha upizani UGANDA, Ndio maana walimzomea jk na mseven walipo fika udsm. Haya mambo yanawa jengea uwezo wa kujiamini na kuleta mabadiliko sehemu yoyote walipo.
MENEJA AMBAYE HATAKI CHALENGE ANATAKA UWEUNAFANYA ANACHOTAKA YEYE TU HATAKAMA KIBAYA HAWEZI KUAJILI MWANAFUNZI TOKA UDSM.
 

Nakumbuka mwaka huu kuna walimu wameajiriwa shule mbali mbali mojawapo kutoka UDSM.Walimu haya ni noma,wanafundisha mpaka mtu anakubali yaani mimi nimehitimu shule hiyo lkn ninatamani kurudi pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…