Elimu si cheti, ulichonacho Elimu ni jinsi gani unaweza kukalibiana na mazingila ulinayo nayo, unaweza kupata kazi kwa kuwa una GPA Kubwa lakini mwenye GPA ndogo akaachwa baada muda yule aliye achwa company inamchukua kwa garama kubwa kwasababu aliko kwenda kaonyesha uwezo mkubwa wa kuisaidia copy.
Kwahiyo lamsingi hapa nikwamba ukipewa nafasi add value to what you doing this make yourself to be more expensive.
Hiyo ndio inawasaidia wanafunzi wa udsm, maana si muda wote wanafikilia kusoma bali wanafikilia ni jinsi gani yakuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali kwa mfano mabadiliko yoyote katika bodi ya mikopo na mikopo yenyewe hufanywa na wanafunzi hawa, wanajitokeza katika midahalo mbalimbali na kutoa mawazo yao mfano malumbano ya hoja ITV, Wamekuwa wa kwanza kupinga mwaka wa kwanza kukosa mikopo wakati wanasifa, na pia hawakubaliani na mambo mengi ambayo Jk anayafanya, na swala la mseveni kuzofisha upizani UGANDA, Ndio maana walimzomea jk na mseven walipo fika udsm. Haya mambo yanawa jengea uwezo wa kujiamini na kuleta mabadiliko sehemu yoyote walipo.
MENEJA AMBAYE HATAKI CHALENGE ANATAKA UWEUNAFANYA ANACHOTAKA YEYE TU HATAKAMA KIBAYA HAWEZI KUAJILI MWANAFUNZI TOKA UDSM.