Tujaghe_Kokaya
Member
- Sep 1, 2014
- 47
- 10
naombeni kujuzwa,UDOM WATATOA lini majina ya walovhaguliwa?
Kaka kweli maswali mengine magumu kwani kuna mtu anafanyia udom humu hadi ajue lini wanatoa.... au kuna tangazo sehem kuwa udom wanatoa just nacte tu ndo walisema udom co muda watatoa so hakuna anaye jua kaka ila maswali.ako yangekuwa kwenye mtihani ningesema out of syllabus
Mbona ndugu hata kuandika hujui,hebu ona eti unaandika 'waliovhaguliwa' nn unamaanisha.