Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

Status
Not open for further replies.
kwa mwenye details zozote kuhusu hivi vyuo viwili jamani...maana wapo kimya hadi sasa...
 
nyie wa vyuo vingine punguzeni kitete mbona mnazngua. nani alkwambia matokeo yatatoka halaf link zisiwekwe? mnavoagizia kama mnalipia mnazngua
 
We are treated like animals, at this rate!
MUNGU, INGILIA KATI NA UPIGANE UPANDE WETU.
 
Jaman tushajua ya Udsm, Duce, Muce, na Saut, sasa mwenye kujua kuhusu Udom kama wameachia majina ama la atujuze plz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom