rightstrict
Senior Member
- Aug 25, 2014
- 100
- 15
Wa kumlaumu hapa ni Kikwete, ikumbukwe mwanzo alituwekea Philipo Mulugo pale Wizarani ambaye amesoma mpaka darasa la saba, matokeo yake akafelisha wanafunzi na kwenda nchi za nje kuitia aibu nchi hata kiingereza hajui kuongea vizuri.....
Uozo huu serikalini chanzo ni JK..
dah...ni,kweli...yule jamaa alikua hajui kitu na aliturudisha nyuma sana...jk alichemka pale..