Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Cambridge na Oxford vyote ni vya Uingereza.Vyuo 14 kutoka Marekani 1 kutoka Uingereza.
Mbona vyuo vya Putin sivioni?
Lakini possibly mimi nimesoma kwenye chuo Kikuu tofauti na hivi vilivyotajwa hapa, lakini kwa nondo nilizopewa kichwani kutoka kwenye chuo hicho, nina uhakika kabisa kuwa ninawazidi angalau 50% ya wahitimu kutoka kwenye vyuo hivi vilivyotajwa hapa, na bila kujali rank zao