Vyuo vikuu 15 bora zaidi duniani na ada zake

Vyuo vikuu 15 bora zaidi duniani na ada zake

Lazima tukatae huu utumwa wa kishenzi.

Nani anayapangilia ubora wa vyuo? Beberu?

Africa nzima hakuna chuo bora hata kimoja kwenye top ten?
Na akili yako timamu unaweza linganisha wanafunzi wanaomaliza UDSM na Yale au Harvard? Baada ya kumaliza vyuo wanakuja kufanya nini mitaani? Wapi wameleta matokeo chanya kwenye jamii?

Au unataka kujitoa ufahamu?

Utakuwa mpumbavu wa kwanza duniani kulinganisha UDSM na hivyo vyuo vya top 10.

Hata baadhi ya vyuo vya South Africa hatujavifikia.
 
Mkuu yaani hamna chuo chochote kimeingia Cha African na ndio maana ukienda kama marekani na degree yako ya bongo nyoso hawaiamin mpaka usome tena kwao
 
Back
Top Bottom