Cambridge na Oxford vyote ni vya Uingereza.
Lakini possibly mimi nimesoma kwenye chuo Kikuu tofauti na hivi vilivyotajwa hapa, lakini kwa nondo nilizopewa kichwani kutoka kwenye chuo hicho, nina uhakika kabisa kuwa ninawazidi angalau 50% ya wahitimu kutoka kwenye vyuo hivi vilivyotajwa hapa, na bila kujali rank zao
Hivi kwa nini vyuo vikuu vya Tanzania ni vibaya sana kwa mwonekano wa majengo? Hakuna watu wanaweza design majengo ya vyuo vikuu yavutie kama vyuo vya China au Europe?