VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

BUSARA ZANGU

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
779
Reaction score
1,269
Katika pitapita yangu kwenye website hii www.41cu.org/tz/ nikakutana na orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania, nimeona sio vibaya tukishirikishana kwenye jambo hilo.1.University of Dar-es-salaam2.Sokoine University of Agriculture3.Muhimbili University of Health and Allied Science4.The Hubert Kairuki Memorial University5.St. Augustine University of Tanzania6.Tumaini University7.The Universty of Dodoma8.Ardhi University9.St. John University of Tanzania10.Teofilo Kisanji11.The State University of Zanzibar12.Mount Meru University13.Mzumbe University 14.Zanzibar University15.The University of Arusha 16.Muslim University of Morogoro17.International Medical and Technological University
 
Sijasoma mzumbe ila wametumia kigezo gani iwe ya 13?

The Hubert Kairuki ipo ndan ya vyuo mia bora kwa Africa sikumbuki niyangapi kipo chenyewe na UDSM..Kwahiyo kwa rank za Africa kwa Tanzania kitakuwa cha pili y hapo kipo cha nne?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
inamaana bugando ni cha ngapi na kwa kigezo kipi?
 
apo kwa udom na mzumbe namashaka kwa kweli.......
 
Nothing new there! hyo rank kila siku nd hyohyo!...hahahaha af we are very tired na thread ka hiyo! Mda si mrefu zogo linaanza humu....wap ifm mpooooooooooo
 
Nothing new there! hyo rank kila siku nd hyohyo!...hahahaha af we are very tired na thread ka hiyo! Mda si mrefu zogo linaanza humu....wap ifm mpooooooooooo

ifm ni taasisi na siyo chuo kikuu,af hapo pale wanasoma warembo wa ukweli kinyama so si dhani kuna kusoma pale,watoto wanaingia beach za kigambon daily
 
ifm ni taasisi na siyo chuo kikuu,af hapo pale wanasoma warembo wa ukweli kinyama so si dhani kuna kusoma pale,watoto wanaingia beach za kigambon daily

wakazaji wapo mkuu!!!
 
Nothing new there! hyo rank kila siku nd hyohyo!...hahahaha af we are very tired na thread ka hiyo! Mda si mrefu zogo linaanza humu....wap ifm mpooooooooooo

Ndio tumeingia yaaan, sema uzuri ni kwamba IFM tuliosoma pale hata continuining student hua hatupendi arguing sana!
 
ifm ni taasisi na siyo chuo kikuu,af hapo pale wanasoma warembo wa ukweli kinyama so si dhani kuna kusoma pale,watoto wanaingia beach za kigambon daily

Hivi unaifahamu MIT? Utasema kwamba MIT sio chuo ni taasisi kwaio hawana ubora sio? Wewe ni punguan.i
 
hii rank ni kwa masuara ya upaikanaji wa taarifa kwenye website ya chuo na sio ubora accademically ndo maana hubert kiruki ipo chini....ingekuwa accademically kingekuwa cha pili kairuku sawa?kwa hiyo mtoa maada hajaelewa nini kinaongelewa kwenye iyo list.kwanza hiyo organization inaitwa web ranking siyo accademic ranking...

  • :yield:
 
mi nipo mzumbe,kweli kwa upande wa taarifa kwenye website tunaweza kushika nafasi hiyo kama wanavyodai,lakini hiyo ranking haijazalishwa kwa kuweka raiking accademically bali ni web ranking,ingekuwa accademically kairuki kingekuwa cha pili tanzania
 
Back
Top Bottom